Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

Haya ndo matokeo ya watoto kutochangamana na familia, kuanzia chekechea hadi chuo ni boarding tu.Tusipobadilika tutaona zaidi ya haya hadi wazazi/walezi watazimia na kufa kwa mshtuko wa watakayoyaona kwa watoto wao wa jinsia zote. Ushoga umechachamaa, uchangudoa umekomaa, ndoa zinavunjika kila kukicha, viongozi wa dini wanakengeuka kila kukicha, ushetwani unatukuzwa na kuonekana ndo ukisasa.Hadi maji tuite mma.Mama Kelengela leta ile kubwa na ukae pembeni yangu hadi muda wa kufunga.
 
Wewe kama mzaz timiza majukum yako mtt yuko abv18 acha aishi maisha yake
Wabongo wengi hata hawaelewi somo kwamba huyu si mtoto wao, ana wazazi wake.

Wanalazimisha maisha yale ya kijima yaliyopitwa na wakati enzi hizi za internet.

Nchi ina watu zaidi ya milioni 60 hii, na kila siku wanaongezeka, utafuatilia watu wangapi wasiokuhusu?
 
Kwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?

Huoni kwamba hapo umeshaweka kasumba kwamba hiki kitu ni kibaya?

Tukisema uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka, hivyo tufunge makanisa, misikiti na shule zote, kwa sababu vyote hivyo vina uhuru unaojenga ushawishi, utakubali?

Kila mtu yuko huru kutenda na kuishi apendavyo ili mradi havunji sheria na miongozo iliyowekwa na mamlaka husika.

Lakini mtu huyo huyo anapotumia Uhuru wake kuingilia uhuru wa hadhara kwa kuishawishi hadhara kufuata muelekeo wake tayari anakua amevuka mipaka yake yeye binafsi, hakuna kasumba hapo ni uhalisia.

Kanisa na Msikiti ni Uhuru wa Imani, na Imani ni jambo la binafsi lakini lenye kusimamiwa na umoja wa jamii husika. Kiumbe hai yuko Governed & Controlled na Imani.

Shule ni nyenzo inayotumika kama kurunzi la kumulika njia kwa kila kiumbe hai kinachohitaji elimu ya namna ya ku navigate hapa duniani, kwa kiasi kikubwa shule ni sehemu ndogo ya ushawishi unaovuka mipaka binafsi na kuiingilia hadhara na ndio maana jamii zingine zinazingatia sana suala la elimu haswa ya awali kwa viumbe wapya (watoto) maana hapo ndipo washing huanzia.

Kiufupi tu, uhuru wa matumizi ya mwili ni jambo la binafsi na elimu ya namna ya kushiriki ngono ni jambo la binafsi zaidi ndio maana sio busara kuyaweka hadharani.
 
Mnashupalia mambo kishabiki tu.

Anachofanya huyo binti kina tofauti gani na shule?

Au unamsakama kwa kuwa anafundisha kitu usichopenda wewe tu?

Ameonesha uchi wake huko?

Kama kweli anachofanya ni kibaya hivyo, kwa nini hamumshitaki?

Ukimzuia huyo wasio Watanzania nao utawazuia humo mitandaoni?

Utawazuia wangapi?

Unaelewa kuwa mitandao haina mipaka, au huelewi hilo?

Hii mitandao ilivyojaa picha na video za uchi, utazimaliza zote?

Kama hupendi habari hizo, kwa nini usimuase mwanao asizifuatilie?

Yani kuna dunia nzima imejaa mchanga wenye uchafu, imejaa matope.

Wewe unalazimisha kutandika zulia dunia nzima mtoto wako asikanyage mchanga.

Kwa nini usimvalishe mtoto wako kiatu tu akawa hakanyagi uchafu popote anapokwenda?

Huoni kwamba hapa unapigana vita ya kijinga ambayo huwezi kushinda?

Huoni kwamba hata hapa umemtangazia biashara zake watu ambao tulikuwa hata hatuna habari zake tumemjua na wengine watazidi kwenda ku subscribe huko?
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Angekua mmakonde,mzaramo au mdigo hapo sawa ila mchaga na ukungwi wapi na wapi kiuno chenyewe kigumu kama jiwe walilolikataa waashi.
 
Habari wadau.

Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.

Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm

Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.

Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.

Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo

Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kwa vile kamesoma uchumi inawezekana kameona demand ni kubwa!
 
Eilimu(education) ya Tanzania na morality ni viwili tofauti tunawasomi wengi kuanzia viongozi unajiuliza huyu ana moral authority gani ya kuendelea kuwa kiongozi.
 
Mbona kama hili jambo limekuuma sana?
Jambo gani? Kuwa specific, nimeandika mengi.

Unahitimisha vipi kuwa limeniuma sana na sijengi hoja za kifalsafa tu?

Unajuaje kuwa si wewe unayekosea kuona jambo limeniuma sana kwa sababu hujazoea kuona watu wakifanya mijadala mikali ya kifalsafa bila kuumia, kwa sababu za kifalsafa tu?

Unaelewa hoja ya kifalsafa ni nini na jinsi gani mtu anavyoweza kusimamia hoja ya kifalsafa kwa passion kubwa bila yeye binafsi kuumia?

Au ukiona mtu katetea hoja ya kifalsafa kwa passion kubwa tu unafikiri anatetea hivyo kwa sababu kaumia?

Unaelewa fikra za kidhahania ni kitu gani?

Kama unaelewa, una uwezo wa kufanya fikra za kidhahania?
 
Mtu anakuombia ni ushamba kutokumuelewa huyo dada na ni haki yake. Ni kweli sio kosa kisheria na uhuru anao.
Hapa hatumpimi kwa hizo sheria anapimwa kwa mila na desturi zetu.
Siamini hata hawa wanaodai ni haki yake kama angekuwa mtoto wao wanauwezo wakumsikiliza majumbani mwao na kufurahi mtoto wao anafanya kitu sahihi
 
Back
Top Bottom