mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Uende jehanum, tubu na uache dhambi ndo umuombe ajeDear jesus,
Muda wa kutuchukua umefika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uende jehanum, tubu na uache dhambi ndo umuombe ajeDear jesus,
Muda wa kutuchukua umefika
Naunga mkono hojaMahojiano yake na ayo tv amesema amesoma kurasini pr kisutu sec weruweru sec udsm sasa shule za ada kubwa hapo zipo wapi
Wabongo wengi hata hawaelewi somo kwamba huyu si mtoto wao, ana wazazi wake.Wewe kama mzaz timiza majukum yako mtt yuko abv18 acha aishi maisha yake
Kwa nini uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka?
Huoni kwamba hapo umeshaweka kasumba kwamba hiki kitu ni kibaya?
Tukisema uhuru unaogeuka ushawishi kwa wengine ni uhuru unaovuka mipaka, hivyo tufunge makanisa, misikiti na shule zote, kwa sababu vyote hivyo vina uhuru unaojenga ushawishi, utakubali?
PENGINE HAMJAMUELEWA HUYO BINTI.
NI WALE TOKA JAMII YA WATU WASIOJUA KABISA MAPENZI.
KWAMBA NI WAKATI SASA WA KUPELEKA ELIMU KWA WATU WA KWAO HUKO.
Kila mtu yuko huru kutenda na kuishi apendavyo ili mradi havunji sheria na miongozo iliyowekwa na mamlaka husika.
Lakini mtu huyo huyo anapotumia Uhuru wake kuingilia uhuru wa hadhara kwa kuishawishi hadhara kufuata muelekeo wake tayari anakua amevuka mipaka yake yeye binafsi, hakuna kasumba hapo ni uhalisia.
Kanisa na Msikiti ni Uhuru wa Imani, na Imani ni jambo la binafsi lakini lenye kusimamiwa na umoja wa jamii husika. Kiumbe hai yuko Governed & Controlled na Imani.
Shule ni nyenzo inayotumika kama kurunzi la kumulika njia kwa kila kiumbe hai kinachohitaji elimu ya namna ya ku navigate hapa duniani, kwa kiasi kikubwa shule ni sehemu ndogo ya ushawishi unaovuka mipaka binafsi na kuiingilia hadhara na ndio maana jamii zingine zinazingatia sana suala la elimu haswa ya awali kwa viumbe wapya (watoto) maana hapo ndipo washing huanzia.
Kiufupi tu, uhuru wa matumizi ya mwili ni jambo la binafsi na elimu ya namna ya kushiriki ngono ni jambo la binafsi zaidi ndio maana sio busara kuyaweka hadharani.
Angekua mmakonde,mzaramo au mdigo hapo sawa ila mchaga na ukungwi wapi na wapi kiuno chenyewe kigumu kama jiwe walilolikataa waashi.Habari wadau.
Huna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA.
Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm
Amepata divisoon one form 4. Na amepata division one form 6.
Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi mtandaoni anafundisha watu jinsi ya kupigana miti.
Imagine mzazi Mtu anapata mshahara wa 1 M kwa mwezi halafu analazimisha kulipa ada ya mtoto 3-4M kwa mwaka, huku pato lake kwa mwaka likienda 12M kabla ya kutoa kodi na matakataka mengine anajikuta zaidi ya 40% ya pato lake kwa mwaka analitumia kulipa ada, halafu baada ya kumaliza chuo mwanae huyo anaishia kuwa kungwi mtandaoni hapa ni lazima afe kwa msongo wa mawazo
Hili ni somo kubwa sana kwamba hichi kizazi cha kisasa Kuliko usomeshe mtoto shule za gharama kwa kujinyima sana bora asome shule za kawaida tu. Maana ajira za maana hakuna. Hata angesoma shule za serikali ukungwi angeumudu tu
Kwa vile kamesoma uchumi inawezekana kameona demand ni kubwa!Habari wadau.

Binafsi siamini katika jehanam, wala katika dhambiUende jehanum, tubu na uache dhambi ndo umuombe aje
Mbona kama hili jambo limekuuma sana?Kwani nani kasema mawazo yako?
Jadili hoja, usijadili aliyetoa hoja nani.
Jambo gani? Kuwa specific, nimeandika mengi.Mbona kama hili jambo limekuuma sana?
Word .Biblia inasema usiache elimu iende zake , na kidunia ni bora uwe na elimu kuliko kubaki mweupe elimu inakusitiri usiabike