kama kisheria wananchi wanahaki basi hata leo inawezekana. Nyerere mwaka 1992 hakuwa na nguvu sana hata kama angetaka viwanja virudishwe angewezashindwa.
bado ushawishi alikuwa nao,KWA WATU WA MAKTABA...je hakuna hotuba yake,maandiko/mahojiano alipowahi kuliongelea hili?nini ulikuwa msimamo wake?...
Tyta ndugu umefilisika siku hizi nini...idara ya pichanaona umebinafsisha
Kuna viwanja kama sokoine Mbeya na Kirumba Mwanza. Hivi viwanja vilijengwa wakati wa chama kimoja na wananchi wote. Vilipokuja vyama vingi wengine wakatoka CCM na walipaswa kupata mgawo wa mali hiyo. Pia wengi walioshiriki ujenzi hawakuwa hata na kadi. Ni wakati wa hawa jamaa kurudisha mali kwa wananchi.
Pia kuna shule za wazazi na viwanja vya sabasaba. KAMA KUNA MALI YA WANANCHI AMBAYO UNAJUA CCM WANAJIMILIKISHA ITAJE HAPA
nyie ndiyo maana hamuaminiki kupewa nchi. badala ya kumwaga sera zenu mnakalia kuwaza mali za ccm. Mbona hamuulizi mashamba ya kahawa ya mwasisi wa cdm, mzee ... pale USA river Arusha
bado ushawishi alikuwa nao,KWA WATU WA MAKTABA...je hakuna hotuba yake,maandiko/mahojiano alipowahi kuliongelea hili?nini ulikuwa msimamo wake?...
tatizo siyo kutumiwa tatizo ni umiliki.kwan vinatumiwa na wana ccm peke yao?
alitaka kuzuia NBC isiuzwe ila alishindwa. lakini huyu naye kuna mambo mengi sana aliikosea hivyo hatuwezi kumchukulia kama msingi kwenye kila maamuzi tunayofanya.bado ushawishi alikuwa nao,KWA WATU WA MAKTABA...je hakuna hotuba yake,maandiko/mahojiano alipowahi kuliongelea hili?nini ulikuwa msimamo wake?...
nyie ndiyo maana hamuaminiki kupewa nchi. badala ya kumwaga sera zenu mnakalia kuwaza mali za ccm. Mbona hamuulizi mashamba ya kahawa ya mwasisi wa cdm, mzee ... pale USA river Arusha
Alafu hao hao ccm wameuza open space kwa kiwango kikubwa,
UWanja wa biafra ccm wameuharibu watakuwa kwenye mkakati wa kuuza tu
unamaoni gani kuhusu viwanja vya michezo ambavyo ccm wamejimilikisha?Chadema wanapata ruzuku ya milioni 200 kila mwezi wanashindwa kununua nyumba ya ofisi..wanabanana tu pale kwa kuwa nyumba ni ya mtei kodi milioni 10 kwa mwezi wanalipa ya mwaka! Wapigaji watupu
Kuna viwanja kama sokoine Mbeya na Kirumba Mwanza. Hivi viwanja vilijengwa wakati wa chama kimoja na wananchi wote. Vilipokuja vyama vingi wengine wakatoka CCM na walipaswa kupata mgawo wa mali hiyo. Pia wengi walioshiriki ujenzi hawakuwa hata na kadi. Ni wakati wa hawa jamaa kurudisha mali kwa wananchi.
Pia kuna shule za wazazi na viwanja vya sabasaba. KAMA KUNA MALI YA WANANCHI AMBAYO UNAJUA CCM WANAJIMILIKISHA ITAJE HAPA
wanatunyonya hasa. hivi viwanja vya sabasaba dar nani mmiliki?Bila mabadiliko kutokea, ni ngumu sana. Hawa jamaa ni wezi sana wanatuibia wananchi. Badala iwe mali ya serikali, wamejimilikisha wao hasa viongozi maana hata wanaojiita wanachama wa CCM, hawambulii kitu. Vinawanufaisha wachache tu. Nawapa pole hata hao mashabiki wao, wanakalia kuwapigia mafisadi debe, huku wao hata kandambili hawana. Shame on them