Ka-nabyule
Member
- Jan 5, 2016
- 82
- 40
Magufuli hayupo kwa ajili ya nchi, yupo pale kwa ajili ya chama kwanza ndio kilichomuweka pale. Kwani alieviiba si Nyerere sasa unataka Magufuli amuende kinyume baba wa taifa.Rais Magufuli akipewa uenyekiti wa chama,afanye jitihada kuvirejesha hivi viwanja serikalini na kukabidhi kwa halmashauri za maeneo husika.
Viwanja hivi vikirejeshwa Serikalini hata viwango vya michezo vitapanda,na viwanja vitatunzwa vizuri.!!!
Rais Magufuli akivirejesha hivi viwanja mikononi mwa umma,atakumbukwa daima na watanzania.
acha ujinga kwenye issue serious kama hiziMuulize Olesendeka siyo sisi
TANU-CCM(Serikali wakati wa chama kimoja) viliachwaje kua Mali ya ccm?Viwanja ni vya TANU ambayo ni CCM, iweje virejeshwe serikali kuu au Halmashauri?