Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

Hoja yako inafanana na ya mwanamke aliyeamua kuachika kwa mume wake kisha akalazimisha kugawana mali walizochuma pamoja ilhali mali hizo zimeandikwa hati ya mume na watoto wake. Ndivyo chadema wanavyofanya. Mali ni za ccm na hati zina majina ya CCM. Msahau kabisa chadema kupata viwanja hivyo. Kama mnashindwa kujenga hata ofisi, mtaweza kumiliki viwanja?
ukimaanisha mume ni CCM na mke ni Tanzania?maana hoja yangu ni mali zirudi serikalini,wewe mbona kila tukisemacho sisi kibaya kwako,hapa haitetewi Chadema ndugu!
 
Hizo ni fikra za kijinga kabisa. Mleta mada hajasema Chadema ndiyo wanaotaka viwanja hivyo. Sisi wananchi ndiyo tunavihitaji viwanja virudi kwa halmashauri za miji vilipo. Mfano wako ni wa kijinga kwa sababu Chadema siyo walioomba kuanzishwa vyama Vingi, na wakati vinaanzishwa Chadema haikuwepo. Baada ya vyama kuanzishwa, Ccm ilipata usajili kama vingine na kabla ya hapo Mali hizo zilikuwa za uma kwani tulijenga kama "wananchi" na si kama "wanaccm". Hata kabla ya vyama vingi, siyo kila mwananchi alikuwa mwanachama wa ccm.
 
watu sasa ivi wechachamaa wanataka ukomo wa mwenyekiti ndani ya chadema, katiba ya chama ibadilishwe!, ww unaulizia viwanja!!

CCM na Chadema ni jumuia za hiari tu,kuna siku zitakufa kama ilivyo KANU,lakini Tanzania itabaki
 
Hahahahaha CCM Kumejaa mijizi.... Hao matajiri Fuatilia utaujua ukweli kuwa wengi ni makada wa CCM, si mnamkumbuka yule kada aliekua na kiwanda cha ARV Feki??
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Tenà yule ndiye mwenyekiti wa ccm mkoa wa Dar. Huyo ni m/kiti wa majizi makubwa maana mengi ya majizi hayo yako Dar
 
Ni sawasawa na nyumba za serikali. Usionelee hayo mambo utanyang'anywa slaa sasa hivi
 
kule wilayani mbinga mkoani ruvuma kuna shule iitwayo MKINGA sekondari ipo chini ya jumuiya ya wazazi lakini kiukweli wananchi wote walishiriki kuijenga bila kujali vyama vyao. ni vizuri ikachukuliwa na serikali...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Akili za mtoto mdogo ambaye baba yake anaporudi Kutoka kazini hupanda juu ya mega na kumwaga razi Mara tu mama anapomaliza kumwandalia baba msosi. "Ana akili nzuri sana c eti?"
 
CCM hata wakae na mali hizo za umma kwa zaidi ya miaka 50, siku watakapopatikana viongozi wakweli wasio wanafiki, na serikali iliyo makini, lazima mali hizo zitarudi kwa wananchi.
 
Hizo ni fikra za kijinga kabisa. Mleta mada hajasema Chadema ndiyo wanaotaka viwanja hivyo. Sisi wananchi ndiyo tunavihitaji viwanja virudi kwa halmashauri za miji vilipo. Mfano wako ni wa kijinga kwa sababu Chadema siyo walioomba kuanzishwa vyama Vingi, na wakati vinaanzishwa Chadema haikuwepo. Baada ya vyama kuanzishwa, Ccm ilipata usajili kama vingine na kabla ya hapo Mali hizo zilikuwa za uma kwani tulijenga kama "wananchi" na si kama "wanaccm". Hata kabla ya vyama vingi, siyo kila mwananchi alikuwa mwanachama wa ccm.
Tatizo ni kwamba unawaelewesha watu ambao hawana hata uwezo wa kukariri.
 
Mkitaka zirudi na nyinyi katafuteni Mpambanaji wenu alietayari kufungwa kama alivyofungwa Sheikh Ponda alietayari kupigwa Risasi za moto kama alivyopigwa Sheikh Ponda akiitisha Maandamano yeye ndie anaongoza sio kubaki makao makuu au Serena Hotel kuitisha Press conference wakati watoto wa wenzio wanakabiliana na Dola. Mkiendelea kuwatumia Wavaa tissue midomoni kama ndio wapambanaji mtasubiri sana.
Rais alishanusa kupitia Mifumo yake imara na madhubuti ya taarifa kuwa baada ya Ramadhan Habibu llah, Waliyullah Sheikh Ponda anaanza harakati zake upya za kutetea Mali za Waislam hivyo amem pre empty.
 
Lizaboni unalipwa kiasi gani mkuu kutetea chama la wana au unawekewa bando ya mwenzi
 
ukimaanisha mume ni CCM na mke ni Tanzania?maana hoja yangu ni mali zirudi serikalini,wewe mbona kila tukisemacho sisi kibaya kwako,hapa haitetewi Chadema ndugu!
mkuu hawa vijana wa ccm,mmmmh kwa kweli ni shida nchi yetu inamizigo mingi sana
 
Hizo ni fikra za kijinga kabisa. Mleta mada hajasema Chadema ndiyo wanaotaka viwanja hivyo. Sisi wananchi ndiyo tunavihitaji viwanja virudi kwa halmashauri za miji vilipo. Mfano wako ni wa kijinga kwa sababu Chadema siyo walioomba kuanzishwa vyama Vingi, na wakati vinaanzishwa Chadema haikuwepo. Baada ya vyama kuanzishwa, Ccm ilipata usajili kama vingine na kabla ya hapo Mali hizo zilikuwa za uma kwani tulijenga kama "wananchi" na si kama "wanaccm". Hata kabla ya vyama vingi, siyo kila mwananchi alikuwa mwanachama wa ccm.
Kadi yako namba ngap
 
Msambichaka hapo umenena jambo la maana. Waache wajifurahishe kwa sasa lakini iko siku Mr God anasema ninkugambila stop COM I am fwed up with it humiliations to my people. And that will be the end of the cinema. NA Hilo wanalijua ila kwa sasa wanaahirisha kutumia kwa maandiko ya Mr God. Nani alijua Farao angefika mahali pa kukubali yaishe?
 
Back
Top Bottom