mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Saaa ya ukombozi ipo karibu
Tutawanyang'anya vyote wabakiwe na office zao tuu
Tutawanyang'anya vyote wabakiwe na office zao tuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1986-1987? Umepotea maboya aliyekutuma kakudanganya. Uwanja umekamilika mwaka 1980.Nikiwa mwanafunzi wa sekondari tulikuwa tunajitolea kujenga uwanja ule kati ya mwaka 1986 hadi 1987 kama maandalizi ya sherehe za miaka 10 ya CCM. Wakati huo nchi ilikuwa na chama kimoja tu, na wote waliojitolea kuujenga uwamnja ule hawakufanya vile kwa vile walikuwa wana CCM kwani hata mimi nilikuwa sijajiunga CCM Kwa nini uwanja uwe mali ya CCM prkrr wakati ulijengwa na watanzania wote?
Sio kweli. Pia kuna majengo mengi tu yanamilikiwa kiharamu na ccm ktk halmashauri mbalimbali. Maeneo ya serikali yaliporwa wafanya biashara wakaambiwa wajenge, halafu wake muda filani bila kulipa kodi, baadae waondoke jengo libakie kuwa la ccm. Huu ni utapeli. Jengo la ccm Kilimanjaro lilijengwa na wananchi kabla ya mfumo wa vyama vingi- wananchi walikatwa pesa zao kwenye mauzo ya kahawa kwaajili ya ujenzi. Baada ya kuanzishwa mfumo wa vyama vingi ccm wakalipora wakati ni mali ya umma.Hivi ni kweli kuwa vile viwanja vya michezo (eg, Kirumba-Mwanza, Majimaji-Songea, Ally Hasan Mwinyi-Tabora etc) ni vya CCM kama wanavyotangaza? Na ni kweli kuwa vilijengwa kwa fedha za CCM?