kwahiyo mie nifanyaje na wakati kama Taifa tunasonga mbele vizuri sana kwa umoja? 🐒

Hii nchi ni yetu sote katiba mbovu tuliyo nayo inawaacha nje wengi wenye kutufaa Zaidi.

Wanaachwa vipi Messi au Mbape nje kama nchi inahitaji kombe la dunia?
 
Hii nchi ni yetu sote katiba mbovu tuliyo nayo inawaacha nje wengi wenye kutufaa Zaidi.

Wanaachwa vipi Messi au Mbape kama nchi inahitaji kombe la dunia?
kama Taifa katiba haijawahi kua tatizo tangu 1977 na kwakweli kama zipo changamoto basi ni chache sana na hazizuii kama Taifa kuendelea kupiga hatua za kimaendeleo...

kwa muda muafaka kadiri itakavyoonekana inafaa tutafanya marekebisho kidogo pale kwenye ulazima, na kama Taifa na tusonge mbele 🐒
 

Iweke kwenye friji hii post yako tutakukumbusha siku kitakapokuwa kimeeleweka
 
🤔
 
sumu sio supu
haionjwai kwa kulambwa

aliwahi kusikika mzee wa mikonyagi akirindima
 
........Mafisi (CCM) yanapendekeza kwa mwenye bucha aache mlango wazi wa bucha yake akienda kulala ili usiku mifisi (mi-CCM) hii ije kusomba nyama zote

......... Ndugu Tlaatlaah wewe na wenzako kina chiembe Crocodiletooth, Lucas Mwashambwa, min -me na chawa wengine huko CCM, hizo ndoto zenu za mchana zikihanikizwa na maombi yenu ya kishetani haya, ni bora mngezana na kujiombea mwenyewe mwepuke kiyama na mateso yaliyo mbele yenu wenyewe, wake zenu, waume zenu, watoto wenu na wajukuu zenu

........Damu za ndugu zetu mlizozimwaga huko maporini si mapenzi ya Mungu bali ni ukatili wa CCM tu na sasa damu hizo zinamlilia Mungu na zinatafuta kulipa kisasi kwenu. ACHENI UJINGA, ACHENI UPUMBAVU, ACHENI KIBURI, TUBUNI MUOKOE NAFSI ZENU NA ZA VIZAZI VYEMU ELSE MOTO UTAWAWAKIA MUDA WOWOTE!!
 
Mkuu sijawahi kuwa chawa wala sijawahi kuwa mfuasi wa hicho chama ,nitake radhi umenitukana vibaya.
 
Naunga mkono hoja, ila its too little too late! Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je atabaki ama atatimka?. Lissu Cool Down!, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
Mnafiki naona sasa ile tabia yako ya kuwa bendera fuata upepo iko wazi. Hapa ulisema nini, na sasa unasema nini?
 
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla


We jamaa ni mnafki hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…