gentleman,
hebu elezea vizur hapo kwenye quarter pin ya baiskeli na nyundo mbona umenikumbusha mbali sana aise 🤣 🤣
Kwani chikwete alisema je?
Kikwete: Ni bora Slaa awe Rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gentleman,
hebu elezea vizur hapo kwenye quarter pin ya baiskeli na nyundo mbona umenikumbusha mbali sana aise 🤣 🤣
kwahiyo mie nifanyaje na wakati kama Taifa tunasonga mbele vizuri sana kwa umoja? 🐒

kama Taifa katiba haijawahi kua tatizo tangu 1977 na kwakweli kama zipo changamoto basi ni chache sana na hazizuii kama Taifa kuendelea kupiga hatua za kimaendeleo...Hii nchi ni yetu sote katiba mbovu tuliyo nayo inawaacha nje wengi wenye kutufaa Zaidi.
Wanaachwa vipi Messi au Mbape kama nchi inahitaji kombe la dunia?
kama Taifa katiba haijawahi kua tatizo tangu 1977 na kwakweli kama zipo changamoto basi ni chache sana na hazizuii kama Taifa kuendelea kupiga hatua za kimaendeleo...
kwa muda muafaka kadiri itakavyoonekana inafaa tutafanya marekebisho kidogo pale kwenye ulazima, na kama Taifa na tusonge mbele 🐒
anaepaswa kuiweka huko ni wewe,Iweke kwenye friji hii post yako tutakukumbusha siku kitakapokuwa kimeeleweka
Madaha yake tu yale...hata Mama Abduli ni mgonjwa na anazungumza kwa tabu, na anatembea kama ana maumivu kwenye mguu.
anaepaswa kuiweka huko ni wewe,
mim nimeeleza ukweli bayana ama unadhani kuna tatizo 🐒
kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
🤔kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
........Mafisi (CCM) yanapendekeza kwa mwenye bucha aache mlango wazi wa bucha yake akienda kulala ili usiku mifisi (mi-CCM) hii ije kusomba nyama zotekiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mkuu sijawahi kuwa chawa wala sijawahi kuwa mfuasi wa hicho chama ,nitake radhi umenitukana vibaya.........Mafisi (CCM) yanapendekeza kwa mwenye bucha aache mlango wazi wa bucha yake akienda kulala ili usiku mifisi (mi-CCM) hii ije kusomba nyama zote
......... Ndugu Tlaatlaah wewe na wenzako kina chiembe Crocodiletooth, Lucas Mwashambwa, min -me na chawa wengine huko CCM, hizo ndoto zenu za mchana zikihanikizwa na maombi yenu ya kishetani haya, ni bora mngezana na kujiombea mwenyewe mwepuke kiyama na mateso yaliyo mbele yenu wenyewe, wake zenu, waume zenu, watoto wenu na wajukuu zenu
........Damu za ndugu zetu mlizozimwaga huko maporini si mapenzi ya Mungu bali ni ukatili wa CCM tu na sasa damu hizo zinamlilia Mungu na zinatafuta kulipa kisasi kwenu. ACHENI UJINGA, ACHENI UPUMBAVU, ACHENI KIBURI, TUBUNI MUOKOE NAFSI ZENU NA ZA VIZAZI VYEMU ELSE MOTO UTAWAWAKIA MUDA WOWOTE!!
Naunga mkono hoja, ila its too little too late! Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je atabaki ama atatimka?. Lissu Cool Down!, usiitishe Press kumjibu Mbowe!Binafsi naona Mbowe angeachia kijiti cha uenyekiti wa Chama ampe Lissu au Heche John
Nasema haya kwasababu Chadema kwa sasa na upinzani unahitaji mtu mwenye maamuzi magumu, misimamo mikali na ambaye hajapoa sana
Simchukii Mbowe hata kidogo wala siangalii ukabila wala dini, ingekua natizama hayo basi ningemfavor mbowe kwasababu labda tunatoka kijiji kimoja. Mimi sio mkabila kama mwendazake au mdini kama Gwajima.
Nachotazama ni utendaji, sasahiv upinzani wanahitaji apatikane mtu mwenye misimamo mikali sana sio mtu mpole mpole kama Mbowe.
Chama kinahitaji watu kama Lissu au wengineo ndo waongoze Chama sio Mbowe
Mbowe sasa imetosha!! Mkabidhi mtu mwingine kijiti sasa!
Mnafiki naona sasa ile tabia yako ya kuwa bendera fuata upepo iko wazi. Hapa ulisema nini, na sasa unasema nini?kiongozi alieko sasa ameonyesha kiwango cha chini sana cha kiuongozi katika kujikwamua kwenye mikwamo ya masula mbalimbali ya kitaifa na kimataifa kwa njia za kidemokrasia na kidipomasia...
badala yake ana hamasisha chuki kwa wananchi dhidi ya serikali yao ya kidemokrasia madarakani, na kuchochea wanachama wake kujiandaa kufanya vurugu na fujo na kufanya mapinduzi ya kiongozi aliechaguliwa na wananchi kidemokrasia, hali ambayo tayari imezua taharuki, wasiwasi na inahatarisha umoja, amani na utulivu wa wananchi humu nchini...
kama mwanadiplomasia mwandamizi mbobevu katika siasa za vyama vingi, kiongozi huyo wa Chadema anapaswa kuachia ngazi au kuondolewa mara moja uongozini, kwasababu amepoteza uhalali wa kiuongozi kitaifa na kimataifa, kwasabb ya kukiuka ustaarabu wa kidemokrasia, sheria za kitaifa na kimataifa, katika kufikia muafaka wa amani ikiwa kuna mkwamo wa kisiasa mahali flani na sio kutumia fujo, vurugu, uharibifu na pengine vifo kufikia suluhu ya mkwamo huo....
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla,
kwa mtu mchochezi kama huyu mwenye record za kutumia umafia kupata uongozi, lakini pia mtu mwenye record za uhalifu kama vile ugaidi kutoa wito kwa mataifa ya ng'ambo kuja kufanya uchunguzi wa mambo ambayo yanawezekana kufanywa na vyombo vya ndani ya nchi yetu,
sambamba na kuomba hayo kwa mataifa ya nje, humu nchini anapanga mapinduzi yenye sura ya vurugu na umwagaji damu...
Hiyo ni aibu kwa chadema na Taifa kwa ujumla. kiongozi huyo aondolewe haraka sana kwa maoni yangu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania
DuhKwanini nini usishauri mwenyekiti wa ccm awe makonda au sabaya? Chadema inakuhusu
Napendekeza TUNDU ANTIPAS LISU makamu mwenyekiti taifa, kuchukua wadhifa huo maramoja, ili kuficha aibu na fedheha kubwa sana kwa chadema yenyewe, Demokrasia ya Tanzania na Taifa kwa ujumla