Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Mkuu Brazil 🇧🇷 lula da silver kashinda Uchaguzi lkn BBC kimyaaaaa
Hakuna habari za muda huu
Walitaka mpinzani ndio ashinde kenge maji!!!!! Lete Uzi Tlaatlaah
BBC wako bize kutangaza script ya drama ya utekaji iliyoandaliwa na maria s Kenya.

Labda watafanya hivyo baadae jioni,
wakati baadhi ya wanaogoma kula wakianguka hovyo kwa njaa mitaani.

Katika Round ya kwanza ya uchaguzi wa Brazil Flavio Bolsonaro wa Right wing politics, alimshinda Lula Desilva wa Left wing politics vizuri tu, but kati yao hakuna aliepata 50+1 ya kura zote kati ya wangombea urais zaidi ya wa5waliokua wakiwania nafasi hiyo ya urais Brazil.

Kilichomsaidia na kilichomfanya Lula Desilva kupindua meza na kumshinda mtoto wa Rais wa zamani wa Brazil anaesota korokoroni kwa uhaini mpaka sasa, ni kwamba Lula Desilva aliungwa mkono na wagombea urais wote wa Left wing politics ambao walikua ndio wengi zaidi katika round ya kwanza, kuliko wagombea urais wa Right wing politics ya kijana Flalvio Bolsonaro. Flavio ana siasa kali huenda zaidi hata ya zile za babake, nadhani wa Brazil hawakutaka hilo.

Hata hivyo,
hii inaonyesha gen z bado wana safari ndefu sana kisiasa gentleman 🐒

Kilicho wafanya mumkose pale Area D kwa risasi kina wagharimu sana wauwaji ninyi
we inaonekana hata saa tano asubuhi hufikishi lazima utakua umeshafakamia kachori za mama rama na kusaliti hiyo nonsense:pedroP:
 
Ni Lazima kuandika hata kama huna Cha maana Cha kuandika?
Gentleman umeanza mgomo?
au wewe upo upo tu kanyaga twende bora liende.

Nywele hutaki kutibua uonekane kama mwendawazimu kumuunga mkono mwenyekiti wa chama taifa,

haya,
imekuja hii ya kugomea msosi nyumbani kwenu, tena hutaki.

sasa unataka nini wewe msaliti wa kisiasa chadema?🐒
 
Ligi za hivi sichezagi ndugu!Nimekushauri,sio Lazima kuandika hata kama huna Cha kuandika!
 
BBC wako bize kutangaza script ya drama ya utekaji iliyoandaliwa na maria s Kenya.

Labda watafanya hivyo baadae jioni,
wakati baadhi ya wanaogoma kula wakianguka hivyo kwa njaa mitaani.

Katika Round ya kwanza ya uchaguzi wa Brazil Flavio Bolsonaro wa Right wing politics, alimshinda Lula Desilva wa Left wing politics vizuri tu, but kati yao hakuna aliepata 50+1 ya kura zote kati ya wangombea urais zaidi ya wa5waliokua wakiwania nafasi hiyo ya urais Brazil.

Kilichomsaidia na kilichomfanya Lula Desilva kupindua meza na kumshinda mtoto wa Rais wa zamani wa Brazil anaesota korokoroni kwa uhaini mpaka sasa, ni kwamba Lula Desilva aliungwa mkono na wagombea urais wote wa Left wing politics ambao walikua ndio wengi zaidi katika round ya kwanza, kuliko wagombea urais wa Right wing politics ya kijana Flalvio Bolsonaro.

Hata hivyo,
hii inaonyesha gen z bado wana safari ndefu sana kisiasa gentleman 🐒

Ulikuwa zaidi ya Uchaguzi pale Brazil 🇧🇷

Israel na Marekani walikuwa pamoja na Dogo

Babu kategemea zaidi wana wa Brazil walimwambia tutasimama nawewe wewe ni kitomvu cha Brazil

Wengine ni Vibalaka wa Wageni 🤠🤠
 
To be honest... hii strategy ya Lissu na CHADEMA ni ya kijinga sasa usipokula ukafa utakuwa umekomoa nani? haa haa ujinga mtupu ngoja waache kula wafe hiyo ni sawa na kujinyonga polisi watatoka watasema chanzo cha kifo cha marehemu alikuwa na muda mrefu hajala no one will be responsible zaidi ya muhusika mwenyewe kujiua
 
Ulikuwa zaidi ya Uchaguzi pale Brazil 🇧🇷

Israel na Marekani walikuwa pamoja na Dogo

Babu kategemea zaidi wana wa Brazil walimwambia tutasimama nawewe wewe ni kitomvu cha Brazil

Wengine ni Vibalaka wa Wageni 🤠🤠
nadhani ni darasa zuri na muhimu sana kwa vijana kwamba elections are all about numbers na sio makelele mengi.

brazil elections 2026
Lula wins
Superior Electoral Court (TSE) has called this race · Over 50% needed to win
100%.

Lula
51.79%
PT · Incumbent
64,256,232 votes

Flávio Bolsonaro
48.21%
PL
59,826,041 votes

Null (Invalid)
-4,153,801 votes

unadhani nini kinaweza kusababisha idadi kubwa ya kura zilizoharibika zaidi ya tabia au mindset ya tukose wote hususani kwa vijana?🐒
 
Mkuu Brazil 🇧🇷 lula da silver kashinda Uchaguzi lkn BBC kimyaaaaa
Hakuna habari za muda huu
Walitaka mpinzani ndio ashinde kenge maji!!!!! Lete Uzi Tlaatlaah
Unapenda kumshobokea Tilatila wewe alafu wa kiume kabisa unataka upakwe mafuta? Mbona unajilegeza sana we popoma na maandishi yako ya kidwanzi
 
My friends, ladies and gentlemen,
lile zoezi na ule uamuzi wa kiuwendawazimu, wa kuwaza, kuamua na kutenda mambo yanayo muathiri na kumdhuru mwendawazimu mwenyewe linaanza rasmi leo.

Kama tulivyo shuhudia huko nyuma wafuata mkumbo, watu wazima wenye heshima na familia kabisa, wakikubali kubebwa ufala wa kifikra na mtu moja tu kujivika muonekano wa kiuwendawazimu kwa kutibua minywele, ni wazi wafuata mkumbo hao pia wanaweza kujitumbukiza tena kwenye mgomo usio na tija wala faida kwa afya na uhai wao kwa kugoma kunywa na kula chakula.

Red cross na mashirika mengine ya dharura wajiandae na huduma ya kwanza ya uji na ambulance za kutosha. Kuna watu wazima wanakwenda kuumbuka na kujiexpose afya zao mgogoro.

Ni wazi,
mgomo huu usio na faida yoyote kwa wahusika ni hatari zaidi kwa wenye changamoto za kiafya zilizijificha na zinazositiriwa kwa kula chakula. In fact, tunaweza kuanza kushuhudia baadhi ya wafuata mkumbo hao wakianza kudondoka hovyo hovyo mitaani katika maeneo mbalimbali nchini, huku wakisingizia changamoto za kiafya kumbe ni njaa na kiu kali imewapiga vilivyo.

Kuanzia leo,
tunakwenda kuwashuhudia watafuta attention na public sympathy wakiumbuka hadharani kwasababu ya kukubali kufuata mkumbo wa kufanya mambo ambayo yatawaathiri na kuwaumiza wenyewe kiafya, kimaisha na kiakili.

Je,
kundi la wenye changamoto ya afya ya akili linaongezeka zaidi nchini badala ya kupungua?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ilianzia kwake na itaishia kwake.

Tangu nchi ipate uhuru imefanya chaguzi nyingi kila baada ya miaka 5 ambazo hazikuharibu mali, kuumiza na kuua watu kama uchaguzi wa 2025. Hii ina maana kuwa kama sio Lissu kuwa mwenyekiti wa chadema watu wote wale wasingeumia, kufa na mali zote zile kuibiwa na kuharibiwa. Lissu ana damu za watu mgongoni mwake. Anachanganyikiwa kwakuwa anafahamu kuwa chanzo kikuu ni yeye.

Kila kitu kilitokea baada ya Lissu kuwa mwenyekiti na Heche kuwa Makamu wake. Hiyo ndiyo the only significant factor katika causation ya kilichotokea 2025. Maana kila kitu kilikuwa constant. Yaani, kabla ya Lissu kuwa mwenyekiti na Heche kuwa Makamu wa chadema Katiba hii ilikuwepo, Tume hii ya uchaguzi ilikuwepo, chadema hii ilikuwepo, jeshi la polisi hili lilikuwepo na taratibu za uchaguzi zilikuwa zilezile. The only factor ambayo imeongezeka hapa ni Lissu kuwa Mwenyekiti na Heche kuwa makamu wa chadema, na ndipo uharibifu na mauaji yakatokea kwenye uchaguzi wa 2025. Sisi wenye akili huwezi kutuzuga wala kutupindisha kiboya kwa kutumia loopholes za kisheria (technicalities).

Ni kweli kaka wafuata mkumbo watamuiga pia, wajinga wapo tu hawakosekani. Hata Paul mackenzie na Kibwetere walikuwa na wafuasi lialia.
 
Na hatutakula
 
well done gentleman,
umeeleza ukweli mtupu kwenye jambo zito na la maana mno katika siasa za Tanzania.
Naunga mkono maelezo yako mia kwa mia 🤝.

halafu umehitimisha kwa kutoa tahadhari muhimu sana kwamba,
tafadhali sana waTanzania,
mambo ya mchungaji Mackenzie na Kibwetere yasitokee Tanzania :pedroP:

Allah atuepushe na hilo balaa.

I
 
Back
Top Bottom