Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

To be honest... hii strategy ya Lissu na CHADEMA ni ya kijinga sasa usipokula ukafa utakuwa umekomoa nani? haa haa ujinga mtupu ngoja waache kula wafe hiyo ni sawa na kujinyonga polisi watatoka watasema chanzo cha kifo cha marehemu alikuwa na muda mrefu hajala no one will be responsible zaidi ya muhusika mwenyewe kujiua
Gentleman,
ndio maana mimi nasisitiza kwamba,
ni mwendawazimu tu, ndio pekee huwaza, huamua na kutenda mambo yanayo mdhuru, yanayomuumiza na kumuathiri yeye mwenyewe.

sijui,
but,
huenda kuna changamoto ya afya ya akili nyuma ya uamuzi huo usio na faida yoyote, but let's wait and see 🐒
 
Kanuni ni ile ile
Tu naangalia muanzisha uzi na heading tu
Afu tuna comment
 
Hivi kugoma kula huwa ina impact sana hata nje anaona wanaitumiaga sana ulaya na kwingene kuna sheria za kimataifa haki ya kula mfungwa wanasheria nijuzeni
Ukigoma kula ni Hatari sio ndogo,MAGEREZA ni SERIKALI wanachokwepa ni MTU KUFIA MAGEREZA maana serikali ndio itaonekana imemu ua.

Dunia haiwezi kukuelewa mtu hana silaha umempokonya kila kitu halafun afe ndani mwako,HUELEWEKI HATA UONGEE KIZULU.

Kinachotokea ukigoma kula...

Askari wa zamu atakutisha kukupiga kula kula kula, ukigoma Watakutingisha kwa kukupiga kidogo wakutishe,Wakiona misimamo Mikali

Ataitwa ASKARI mwenye sifa ya ukorofi na ukali anae ogopwa,atakuja akutishe ULE...usipokula pamoja na vitisho vyake,

Wanajua hii issue iko serious,Wanaanza kuku pet pet na kukubembeleza...UKIGOMA BADO

ANAITWA BWANA JELA WA MAGEREZA (hawa wazee huwa wana busara kuliko YESU) Bwana jela ASKARI MKUU WA GEREZA HILO akija kwanza wafungwa wengi humpenda maana anafata sheria kuliko MAHAKAMA huyo hapindishi sheria anaijua sheria na anaisimamia SHERIA

huyo akija hata kama kuna mgomo wafungwa hulegeza kamba na huyo aki ahidi kitu kita timizwa,

BASI akija BWANA JELA atasema uletwe akusikilize mtakaa nae OFISINI nyie wawili tu, Utamweleza unachotaka (95%) ya mahitaji ya wafungwa/mahabusu yanayomfikia BWANA JELA huwa yanatatuliwa ndani ya masaa 12 sio 24 ni hapo kwa hapo hata kama ni simu kwa rais itapigwa hapo hapo ki ufupi shida ikimfikia yeye imeisha.

Kwa CASE ya LISSU bwana JELA anaweza asiitatue maana kama yuko serious sana basi BWANA JELA NAE ATAMUITA MKUBWA WAKE

Ki ufupi kuhusu Kula tuuu Lissu atakataaa huku nnje ila TEAM YA MAGEREZA UONGOZI WA JUU WAKIJA KWA PAMOJA WALE UTAKULA TUUUU maaana ni wazeee,wenye hekima kama za abrahamu wanaongea na wewe kama vile wana mamlaka ya kukuachia uende uraiani so kula tu LISSU atakula

ila katika Vitu vinawatisha MAGEREZA ni mahabusu/mfungwa kugoma KULA ni 1 ya kitu hawaruhusu hata kwa bahati mbaya.

lakini WEWE unae GOMA hakikisha una uwezo wa kugoma kweli huku case yako ikiendelea kuwa solved sio uwe kinjaa njaa.

Kwa hii LISSU anaweza shinikiza na akapata anachotaka kwa Strategy hiii..

SWALI : LISSU anaweza kushinda njaaa kweliiiii???? maana mlolongo huu ni mrefu na haya yote nilio yaaandika kwa mtu kama LISSU yatachukua siku 1 tu kukamilishwa na si zaidi ya masaa 24
 
Huwezi kuelewa,bado kijana mdogo!

A hunger strike is a non-violent method of protest where a person deliberately refuses to eat (and sometimes drink) for a prolonged period to force authorities or institutions to meet specific demands.
wait for 6ht nov.
 
Gentleman,
ndio maana mimi nasisitiza kwamba,
ni mwendawazimu tu, ndio pekee huwaza, huamua na kutenda mambo yanayo mdhuru, yanayomuumiza na kumuathiri yeye mwenyewe.

sijui,
but,
huenda kuna changamoto ya afya ya akili nyuma ya uamuzi huo usio na faida yoyote, but let's wait and see 🐒
Ngoja waache kula wakose stamina za kushughulikia wake zao tutawasaidia
 
Mahakama na magereza nani mkubwa?
Mahakama ni theory na magereza ni field (hands on). Huwezi kuinusuru nchi kwa theory. Hawa ni watu waliojipanga kwelikweli, mwanya mdogo tu wanaweza kusababisha madhara makubwa. Waliwahi kuwaapuza na kusema hakutakuwa na nywi wala nywinywinywi lakini wakafanya uharibufu mkubwa sana uliosababisha hasara na vifo.

Nadhani mawakili kukutana na Lissu ni step muhimu sana katika mipango yao.
 
Ngoja waache kula wakose stamina za kushughulikia wake zao tutawasaidia
wanadhani kwa kuacha kula na kumeza dawa ulimwengu utageukia Tanzania. Wanasahau hata Uganda yuko Bisije aligoma kula lakini hakubadilisha kitu.

Mataifa ya Magharibi sasa hivi hayana muda wa kugeuza macho yao Afrika kwakuwa na wao wana vifurushi vyao kutoka kwa raia wao.

The world IS NOT watching, ndugu zake tafadhali mshaulini mheshimiwa ale, kunywa na kumeza dawa zake. Msitegemee Heche atamshauri ale na kumeza dawa.
 
Back
Top Bottom