Dr wa Manesi
JF-Expert Member
- Aug 19, 2024
- 6,479
- 4,974
Nimetumia maarifa ya literature mkuu, just relax.Watu wengine mnatukazimisha tushindwe kuwastahi, toka lini magereza wakalisha wafungwa pork haramu?

Mbona kama hii nchi kila mtu anaamua kivyake
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala alizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 24, 2026 jijini Dar es Salaam.
Dkt. Nshala amesema uamuzi wa Lissu umetokana na mawakili wake ambao ni Nashon Nkungu na Paul Kisabo kwenda gerezani kwa lengo la kumuona Lissu lakini uongozi wa Gereza la Ukonga liliwaambia kuwa utaratibu utatumika kama ule uliokataliwa na Mahakama kuwa Naibu Mkuu wa Gereza, Mwanasheria na Maafisa wengine watakuwepo katika chumba wanachozungumza na Lissu.
Dkt. Nshala amesema Lissu alikataa kuzungumza na mawakili wake akisema utaratibu ulioagizwa na Mahakama kuwa maafisa wakae umbali wanaoweza kuona na sio kusikia umekiukwa.
Baada ya hapo Dkt. Nshala anasema alienda gerezani mwenyewe ambapo aliambiwa kuwa hawezi kuonana na Lissu kwa sababu amesema hayupo tayari kuzungumza ndipo alipokataa ujumbe huo na kutaka kuonana na Lissu lakini hata alipofanikiwa kuonana nae msimamo ulikuwa ule ule kuwa hawezi kuzungumza mpaka amri ya Mahakama ifuatwe.Jambo TV inaendelea na jitihada za kulitafuta Jeshi la Magereza ili kupata ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Pia soma: Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo
Kwani akilishwa Kwa lazima hatoshiba?

Kesi imeisha? Au ukisubiri hukumu sheria zinasimama?Hatari sana,hivi hao walienda kama wageni,ndugu au mawakili? Je,kama ni mawakili,wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi kamanda?
Inawezekana ni mkubwa but hana maturityHuwezi kuelewa wewe bado mdogo.
we jamaa wa zamani sana hapa JFHii inatia mashaka sana, Mahakama imeamua kivyake na magereza kivyake daaah
Hukum ni kuachiliwa huruunataka hukumu nzuri?
Naona wengi mnazunguka zunguka tu, mnaleta hisia na blah blah tueni ufafanuzi wa kina.
Kisheria imekaaje mtu akiamua kufanya maamuzi kama hayo yeye mwenyewe tena kwa kuyatangaza hadharani.
Akipata madhara ni hatia ya nani? Yakwake mwenyewe, Magereza au Serikali?
Hili jambo sasa liko bayana. Lissu amefanikiwa tena.Mbona kama hii nchi kila mtu anaamua kivyake
Swali la mtu mpumbavu, mfuasi wa mafisadi na watekaji.Akigoma kula mwenye hasara hapo ni nani?
Punguza makasiriko kifua kitabasti, hebu jibu swali kwa utulivu!!Swali la mtu mpumbavu, mfuasi wa mafisadi na watekaji.
Bado kitambo kidogo tu nanyi mtapata majibu.
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala alizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 24, 2026 jijini Dar es Salaam.
Dkt. Nshala amesema uamuzi wa Lissu umetokana na mawakili wake ambao ni Nashon Nkungu na Paul Kisabo kwenda gerezani kwa lengo la kumuona Lissu lakini uongozi wa Gereza la Ukonga liliwaambia kuwa utaratibu utatumika kama ule uliokataliwa na Mahakama kuwa Naibu Mkuu wa Gereza, Mwanasheria na Maafisa wengine watakuwepo katika chumba wanachozungumza na Lissu.
Dkt. Nshala amesema Lissu alikataa kuzungumza na mawakili wake akisema utaratibu ulioagizwa na Mahakama kuwa maafisa wakae umbali wanaoweza kuona na sio kusikia umekiukwa.
Baada ya hapo Dkt. Nshala anasema alienda gerezani mwenyewe ambapo aliambiwa kuwa hawezi kuonana na Lissu kwa sababu amesema hayupo tayari kuzungumza ndipo alipokataa ujumbe huo na kutaka kuonana na Lissu lakini hata alipofanikiwa kuonana nae msimamo ulikuwa ule ule kuwa hawezi kuzungumza mpaka amri ya Mahakama ifuatwe.Jambo TV inaendelea na jitihada za kulitafuta Jeshi la Magereza ili kupata ufafanuzi wa tuhuma hizi.
Pia soma: Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo
Hili jambo sasa liko bayana. Lissu amefanikiwa tena.