Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Nchi ya ajabu sana hii.

Mahakama imekubali kuwa toilet paper ya CCM.

Muda mwingine najiuliza. Hivi tatizo kama hili linaweza kurekebishwa kwa Katiba mpya kweli au kuna mambo mengine beyond ambayo yanatakiwa yafanyike ili kuipa nguvu na mamlaka makubwa hiyo Katiba?
 
Inahitaji katiba na change of mindset. Watu wanaamini viongozi wa CCM ndio sheria yenyewe. Na viongozi wa CCM ndio wanaovyoamini hivyo. Mind za watu zinahitaji kuwa reprogrammed na kufikili sawasawa.
Nini cha kufanya?
1.
 
Cha kufanya ni kwanza CCM itolewe madarakani kwa nguvu ya wananchi. (Sioni CCM ikitolewa madarakani kwa njia ya mazungumzo hilo tusahau)
Wakati katiba mpya inatengenezwa massive awareness campaign ya kureprogramme mind za watanzinia iwe inaendelea
 
Nchi ya ajabu sana hii.

Mahakama imekubali kuwa toilet paper ya CCM.

Muda mwingine najiuliza. Hivi tatizo kama hili linaweza kurekebishwa kwa Katiba mpya kweli au kuna mambo mengine beyond ambayo yanatakiwa yafanyike ili kuipa nguvu na mamlaka makubwa hiyo Katiba?
Kwa vile sasa Nchi inaongozwa na genge la uporaji wa mali za Tanganyikà, imeondoa kabisa, usimamizi wa mahakama, sheria, au neno haki, Bali maamuzi na mapendekezo ya genge hilo tu.
 
ok.
well done,

nakumbuka aliwahi kua anaenda nakontena la ubwabwa na maharagwe, hadi kizimbani, hivi alikua kapatwa na nini siku zile? :pedroP:

halafu,
ukiona binadamu alie hai anakataa mambo ya dunia hii kama vile kula chakula, kunywa maji n.k, ujue anatamani mambo ya mbinguni :pedroP:

binafsi namtakia kila la kheri kwenye jambo hilo la hiyari analoanza rasmi j3 tar.26.10.2030, I hope atamaliza rasmi kama kiki ya kuatract public sympathy 29.10.2026 right?

well done fr.charz kitma for this cript
 
Sure,
hawezekani aise,
majuzi tu alikua ana tembea na kontena la kiporo chav bwabwa na maharagwe hadi kinzimbani kwasababu ya njaa kali, eti leo anataka kugomea chakula, kwani siku zote alikua analazimishwa kula? kachanganyikiwa nini huyo jamaa:pedroP:
Pasua kichwa wa taifa huyo.
Toto tundu,
Sumbufu la nchi.
 
Nikisoma hata huo uamuzi wa mwanzo wa mahakama kwamba Lissu alikubaliwa akutane na mawakili wake pakiwepo maafisa wengine wa magereza, ni uamuzi wa kioga usikokuwa na maana yoyote.

Hakuna sheria ya hivyo, ni uamuzi wa kioga wa majaji ili kuifurahisha serikali.

Suala la kusema wakutane wazungumze eti na maafisa wa magereza wawepo umbali ambao hawatasikia mazungumzo ni ujinga mtupu.

Maafisa wa magereza wanatakiwa wakae mbali provided mawakili wa Lissu wameshafanyiwa inspection kabla ya kuingia ndani kukutana na Lissu.

Hii nchi maamuzi ya mwisho yapo kwa wananchi, lazima tutoke mitandaoni twende barabarani, kama tutaendelea kuamkia na kulalia mitandaoni, basi tutaendelea kuburuzwa mpaka mwisho wa hii dunia [kama upo].
 
Sasa tunaingia gizani kuelekea:
1. October 29
2. Hukumu ya Lissu tar 6 Nov.
Hapa katikati lolote linaweza kutokea.
 
Attachments

  • 1003455132.jpg
    1003455132.jpg
    119.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom