instinct desire
JF-Expert Member
- Mar 17, 2026
- 2,503
- 1,757
AMECHANGANYIKIWA š¤£
Zikipita siku tatu mtamuona tu atavamia masufuria ya ugali hapo ukonga yeye mwenyewe bila kulazimishwa.
Sheria ndio zenye hasara. Lisu anakula ili aishi, sio kuishi ili ale. Hapo kuna mtu ana imani kuwa mahakama ziko huru, na tii sheria bila shuruti?Akigoma kula mwenye hasara hapo ni nani?
Nenda we na mumeoTwendeni road tu wanangu no option.
Mahakama imekubali kudharaulikaHii inatia mashaka sana, Mahakama imeamua kivyake na magereza kivyake daaah
Akigoma kula mwenye hasara hapo ni nani?
ok.
well done,
nakumbuka aliwahi kua anaenda nakontena la ubwabwa na maharagwe, hadi kizimbani, hivi alikua kapatwa na nini siku zile?
halafu,
ukiona binadamu alie hai anakataa mambo ya dunia hii kama vile kula chakula, kunywa maji n.k, ujue anatamani mambo ya mbinguni
binafsi namtakia kila la kheri kwenye jambo hilo la hiyari analoanza rasmi j3 tar.26.10.2030, I hope atamaliza rasmi kama kiki ya kuatract public sympathy 29.10.2026 right?
well done fr.charz kitma for this criptš
Tangu lini wewe umekuwa mbadala wake?Food will be forced down his throat, simple tu. Mwanaume anagoma kupumua, sio kula.
Kwanza thubutu yakee, anavyoonekana kupendwa pork yule ataisusa vp?!!!
SAYNGAYok.
well done,
nakumbuka aliwahi kua anaenda nakontena la ubwabwa na maharagwe, hadi kizimbani, hivi alikua kapatwa na nini siku zile?
halafu,
ukiona binadamu alie hai anakataa mambo ya dunia hii kama vile kula chakula, kunywa maji n.k, ujue anatamani mambo ya mbinguni
binafsi namtakia kila la kheri kwenye jambo hilo la hiyari analoanza rasmi j3 tar.26.10.2030, I hope atamaliza rasmi kama kiki ya kuatract public sympathy 29.10.2026 right?
well done fr.charz kitma for this criptš
Kwa hiyo mnataka kusema kaamua kujiua kwa njaa na yuko tayari kufa kwa kugoma kula?Mawazo ya kiongozi wenu aliyemtia ndani pasina kosa, alifikiri ujinga kama huu wa kwako eti akitiwa ndani miezi kadhaa atakubaliana na matakwa yake, Leo Lissu anamaliza mwaka na miezi na hana mpango wa kupiga goti kwa shetani kama mlivyo baadhi huko CCM
Sikiliza we kijana, si Kila binadamu lazima afanane na wewe!
Kuna watu wanajua kifo kipo na hawakiogopi, ila Kuna nyinyi mnaojua kifo kipo ila mnakiogopa, na nyinyi ndio watu wapumbavu kuwahi kutokea duniani
Mpo tayari kuhongwa chochote ili muamgamize wengine
Stupid!
boss ulienda nchi gani ambako Jf haifikiHii inatia mashaka sana, Mahakama imeamua kivyake na magereza kivyake daaah
akigoma kula anamkomoa nani? mnaleta utoto.
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.
"Hayo ameyaeleza Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala alizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 24, 2026 jijini Dar es Salaam.
Dkt. Nshala amesema uamuzi wa Lissu umetokana na mawakili wake ambao ni Nashon Nkungu na Paul Kisabo kwenda gerezani kwa lengo la kumuona Lissu lakini uongozi wa Gereza la Ukonga liliwaambia kuwa utaratibu utatumika kama ule uliokataliwa na Mahakama kuwa Naibu Mkuu wa Gereza, Mwanasheria na Maafisa wengine watakuwepo katika chumba wanachozungumza na Lissu.
Dkt. Nshala amesema Lissu alikataa kuzungumza na mawakili wake akisema utaratibu ulioagizwa na Mahakama kuwa maafisa wakae umbali wanaoweza kuona na sio kusikia umekiukwa.
Baada ya hapo Dkt. Nshala anasema alienda gerezani mwenyewe ambapo aliambiwa kuwa hawezi kuonana na Lissu kwa sababu amesema hayupo tayari kuzungumza ndipo alipokataa ujumbe huo na kutaka kuonana na Lissu lakini hata alipofanikiwa kuonana nae msimamo ulikuwa ule ule kuwa hawezi kuzungumza mpaka amri ya Mahakama ifuatwe.Jambo TV inaendelea na jitihada za kulitafuta Jeshi la Magereza ili kupata ufafanuzi wa tuhuma hizi.
na wewe una akili?Mwendawazimu wewe! Wanapojadiliana watu wenye akili timamu, watu kama ninyi kaeni kimya, msijaze saver za JF kwa contributions zenu hizi za kipunguani.