Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

16 October 2026
SOMA HUKUMU YA TAREHE 16 OKTOBA 2026
Kulwa William Maduhu and Others vs Attorney General and Others (Miscellaneous Civil Cause No. 7300 of 2026) [2026] TZHC 6259 (16 October 2026)

IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

(MAIN REGISTRY)
AT DODOMA

(CORAM: MRUMA, J., RUMISHA, J., AND LONGOPA, J.)

MISCELLANEOUS CIVIL CAUSE NO. 7300 OF 2026

BETWEEN

KULWA WILLIAM
MADUHU............................1ST PETITIONER

NASHON NKUNGU.......2ND PETITIONER

PAUL KISABO................3RD PETITIONER

VERSUS

THE ATTORNEY GENERAL................ 1ST RESPONDENT

THE COMMISSIONER GENERAL OF PRISONS...................... 2ND RESPONDENT

THE OFFICER IN CHARGE OF UKONGA PRISON .................. 3RD RESPONDENT

TUNDU ANTIPHAS MUGHWAI LISSU ................. 4TH RESPONDENT

TANGANYIKA LAW SOCIETY .................INTERESTED PARTY

JUDGEMENT
MRUMA, J.

This constitutional petition raises a question which is narrow in its
formulation but far-reaching in its consequences. The question is whether, when an advocate consults a client detained in prison, prison officers may
remain sufficiently close to hear the consultation, or whether the law requires security to be maintained by visual supervision without listening to conversations

Page 1

A related question concerns the circumstances in which prison
authorities may refuse an advocate access to a detained client.

These questions may appear straightforward, but they raise matters of considerable legal importance, particularly when considered in the light of the familiar principle that no one is above the law.

The Petitioners are advocates who say that they were instructed to
provide services in connection with criminal proceedings against the Fourth Respondent, Tundu Antiphas Mughwai Lissu.

They contend that the arrangements at Ukonga Central Prison prevented confidential consultations,
interfered with their professional work, and impaired the effective enjoyment of the Fourth Respondent’s rights to a fair hearing and the privacy of his
communications.

Their application is brought under Articles 26(2) and 30(3) of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977; sections 4 and 5 of the Basic Rights and Duties Enforcement Act, commonly referred to as BRADEA, Cap. 3, R.E. 2023; and rule 4 of the Basic Rights and Duties Enforcement (Practice and Procedure) Rules.

The principal domestic provisions relied upon are regulation 13 of the
Prisons (Prison Management) Regulations, 1968, Government Notice No. 19 of 1968, and Articles 13(1), 13(3), 13(6)(a), 15, 16, 22(1), 26(1),

Page 2

READ MORE : FULL JUDGEMENT

Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.

"Hayo ameyaeleza Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala alizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 24, 2026 jijini Dar es Salaam.

Dkt. Nshala amesema uamuzi wa Lissu umetokana na mawakili wake ambao ni Nashon Nkungu na Paul Kisabo kwenda gerezani kwa lengo la kumuona Lissu lakini uongozi wa Gereza la Ukonga liliwaambia kuwa utaratibu utatumika kama ule uliokataliwa na Mahakama kuwa Naibu Mkuu wa Gereza, Mwanasheria na Maafisa wengine watakuwepo katika chumba wanachozungumza na Lissu.

Dkt. Nshala amesema Lissu alikataa kuzungumza na mawakili wake akisema utaratibu ulioagizwa na Mahakama kuwa maafisa wakae umbali wanaoweza kuona na sio kusikia umekiukwa.

Baada ya hapo Dkt. Nshala anasema alienda gerezani mwenyewe ambapo aliambiwa kuwa hawezi kuonana na Lissu kwa sababu amesema hayupo tayari kuzungumza ndipo alipokataa ujumbe huo na kutaka kuonana na Lissu lakini hata alipofanikiwa kuonana nae msimamo ulikuwa ule ule kuwa hawezi kuzungumza mpaka amri ya Mahakama ifuatwe.Jambo TV inaendelea na jitihada za kulitafuta Jeshi la Magereza ili kupata ufafanuzi wa tuhuma hizi.
😀😀😀Agome tu kwani nani atadhulika kadri ya upepo unapovuma ndyo ****** wa kuku unakua wazi
 
Kwa hiyo mnataka kusema kaamua kujiua kwa njaa na yuko tayari kufa kwa kugoma kula?
Siyo tunasema,

Mungu huwekeza mambo makubwa kwa watu maalumu, na hao watu wakishakufahamu kile Mungu amewekeza, hupigana kufa na kupona ili kutimiza hicho,

Lissu, ni mtu aliyetwishwa zigo kubwa la nchi hii, ila upinzani ni mkubwa kutoka kwa shetani na watu wake CCM, Lissu mbali na mateso yote hayo, hutosikia akiikana nchi yake na kile alichowekewa ni hadi atimize hata kama itagharimu maisha yake

Na hiyo yote ni kwa ajiri ya nchi Tajiri tajiri Tanzania including na mijinga ya CCM inayokubali kuuishi umasikini wa kusababishiwa na CCM
 
HADHI YA MHIMILI WA MAHAKAMA TANZANIA INA DHARAULIWA

Jumatatu, Oktoba 2026​

JAJI MKUU WA UGANDA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MAKAO MAKUU YA MAHAKAMA​

Na HABIBA MBARUKU-Mahakama Dodoma

Jaji Mkuu wa Uganda, Mhe. Dkt. Flavian Zeija, pamoja na ujumbe wake leo tarehe 12 Oktoba, 2026 ametembelea Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania jijini Dodoma na kujionea hatua kubwa zilizopigwa katika utoaji haki nchini, ikiwemo matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), ujenzi wa miundombinu ya kisasa inayorahisisha utendaji wa Mahakama huku ikitekeleza Dira ya Taifa ya Maendeleo, 2050.

Alipowasili Makao Makuu ya Mahakama ya Tanzania, Mhe. Dkt. Zeija alipokelewa na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. George Masaju akiwa pamoja na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Mhe. Dkt. John Jingu pamoja na Wajumbe wa Menejimenti ya Mahakama ya Tanzania.

Katika ziara hiyo, ugeni huo ulipata fursa ya kutembelea ukumbi mpya wa kisasa wa Mahakama ya Tanzania, pamoja na Chumba Maalum cha Usimamizi wa Taarifa za Mahakama (Judiciary Situation Room) kinachotumika kufuatilia na kuratibu shughuli za Mahakama nchi nzima.

Aidha, ugeni huo ulipata nafasi ya kufanya majadiliano na kubadilishana uzoefu juu ya matumizi ya TEHAMA, pamoja na kufahamu mifumo mbalimbali inayotumiwa na Mahakama katika kufanikisha upatikanaji wa haki mapema ipasavyo ambapo Mkurugenzi wa Mipango na Uratibu wa Mahakama ya Tanzania, Bw. Erasmus Uisso, aliwasilisha mada iliyoeleza muundo, dira, na maboresho mbalimbal8i yanayoendelea kutekelezwa na Mahakama ya Tanzania.

Akiwasilisha Muundo wa Mahakama, Bw. Uisso amebainisha kuwa, mfumo wa Mahakama nchini umejengwa katika ngazi kuu nne kuanzia Mahakama za Mwanzo, Mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi, Mahakama Kuu yenye divisheni maalum ambazo ni Divisheni ya Kazi, Ardhi, Biashara, Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, hadi Mahakama ya Rufani ambayo ndiyo ngazi ya juu kabisa ya Mahakama.

Bw. Uisso ameeleza kuwa, Mahakama inatekeleza azma yake ya kutoa haki sawa kwa wote mapema ipasavyo kupitia teknolojia, ikiongozwa maadili ya msingi, ambayo ni uadilifu, kutokuwa na upendeleo, uwajibikaji, uwazi, na utaalamu kupitia uadilifu, uwazi, na uwajibikaji, huku kipaumbele kikubwa kikiwa ni kuwaweka wananchi mbele (citizen-centric) ili kujenga imani ya umma.

“Tunatazamia kutoa haki kwa wote kupitia teknolojia, na mwelekeo wetu uko kwa wananchi, yaani unaoweka wananchi mbele (citizen-centric). Hilo ndilo lengo letu, kuhakikisha kwamba wananchi wanapata kile wanachokitazamia kutoka kwetu, tunajikita sana katika kujenga imani ya umma, kwa sababu kama huna imani ya umma, basi watu hawawezi kutumia au kupata kile wanachokitazamia kutoka kwetu,” ameeleza Bw. Uisso.

Akizungumza kuhusu mageuzi ya Mahakama, Bw. Uisso ameeleza kuwa mageuzi ya Mahakama yalianza takribani miaka 10 iliyopita, yaani mwaka 2015 ambapo kuanzia mwaka huo Mahakama imemaliza mpango wa mageuzi ya sekta ya sheria, uliokuwa ukijumuisha Taasisi zote za sekta ya sheria kwa kuongozwa na Wizara, jambo ambalo limeonesha mafanikio kwa Mahakama.

Ameeleza kuwa, eneo lililopewa kipaumbele katika mageuzi ni mabadiliko ya kidigitali ambapo Mahakama ilihakikisha inafanya shughuli za ke kidigitali kwa kujenga mifumo kama vile mfumo wa usimamizi wa mashauri, Mahakama Mtandao Pamoja na mfumo wa kufuatilia takwimu za kiutendaji za Mahakama.

Ameongeza kuwa, eneo lingine lililopewa kipaumbele ni mageuzi ya kisheria na kiutaratibu, ambapo kanuni na taratibu zilianza kurahisishwa pia uanzishaji wa kanuni za ufunguzi wa mashauri kwa njia ya mtandao kanuni za uendeshaji wa mashauri kwa mtandao ili kuwezesha usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao.

Aidha, kipaumbele cha miundombinu ya Mahakama ambapo Mahakama imefanikiwa kujenga Vituo Jumuishi vya Utoaji Haki, Mahakama za Hakimu Mkazi, Pamoja na ukarabati wa majengo ya Mahakaman nchi nzima, sambamba na kuimarisha rasilimali watu kwa kuanzisha mafunzo ili kukuza ujuzi na kuboresha mazingira ya kazi kwa kutoa vifaa vya kufanyia kazi, kuwezesha usafiri kwa wafanyakazi.

Sambamba na hayo, Bw. Uisso ameyataja mafanikio yaliyofikiwa kuwa ni ujenzi wa Vituo Jumuishi vya Utoaji Haki 15 nchi nzima, ambavyo vinakusanya huduma zinazopatikana katika ngazi zote za Mahakama chini ya pamoja.

Ameyataja Mafanikio mengine kuwa, ni Matumizi ya TEHAMA yanayohusisha matumizi ya Mfumo wa Kielektroniki wa usimamizi wa mashauri (e-case management), usikilizaji wa mashauri kwa njia ya mtandao (virtual hearings), na mfumo wa kurecord kumbukumbu kidijiti ili kuongeza uwazi na ufanisi pamoja na kujenga uwezo wa rasilimali watu kupitia mafunzo endelevu kwa watumishi ili kuendana na mabadiliko ya kiteknolojia.

Bw. Uisso amefafanua kuwa, katika miundombinu ya TEHAMA kuna intaneti ya mkongo wa baharini yenye kasi ya gigabiti 1.28 kwa sekunde pia mtandao wa nyuzi za fiber (fiber cable) ambao sasa umefika zaidi ya kilomita 7,000 na unafika hadi kwenye makao makuu ya kila wilaya kwa sasa, kwa hiyo inapatikana vizuri, lakini pia inaunganisha baadhi ya nchi jirani ikiwemo Uganda.

Akihitimisha wasilisho lake, Bw. Uisso amesema kuwa katika muelekeo wa Dira 2050, Mahakama ina mpango wa maendeleo wa miaka mitano, mfumo wa kimakakati wa Uchumi wa kidigitali ambayo yatalisha sheria za kitaifa za TEHAMA ambapo ipo Sheria ya Serikali ya Mtandao , Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, pamoja na sheria nyingine zinazosimamia sekta hiyo, ambazo zitaielekeza Mahakama, kufaidika na mipango hiyo, hasa mpango mkakati, pamoja na sera ya TEHAMA huku akiongeza kuwa maboresho haya ya Mahakama yanaingiliana kwa karibu na Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, inayolenga kujenga uchumi imara na jamii yenye haki, amani na utawala bora.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Idara ya TEHAMA-Mahakama ya Tanzania, Bw. Kalege Enock, ameelezea mifumo mbalimbali ya Mahakama na namna inavyofanya kazi kieletroniki ikiwa ni pamoja na mifumo ya e-Case Management, Virtual Court pamoja na namna Chumba Maalum cha Usimamizi wa Shughuli za Mahakama (Judicial Situation Room) kinavyofanya kazi kama Data Hub.

Katika ziara hiyo ambayo Mhe. Dkt. Flavian Zeija, ameambatana na baadhi ya Viongozi wa Mahakama Uganda ambao ni pamoja na Maureen Kasande, Ssinabulya Joseph pamoja na Oryema Brian.

Ziara hiyo imethibitisha ushirikiano madhubuti wa kisheria na kimahakama kati ya nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, huku Uganda na Tanzania zikishirikiana kubadilishana uzoefu katika uboreshaji wa mifumo ya utoaji haki kwa wananchi
 
Mwenyekiti amesema kuanzia Jumatatu ya tarehe 26/10/2026 anaanza mgomo wa kutokula chakula kwa sababu amenyimwa haki yake ya kukutana na Mawakili kwa sababu anasimamia maamuzi ya Mahakama Kuu ya Tanzania huo ambao ulitolewa wiki iliyopita kuwa ana haki ya kukutana na mawakili.

"Hayo ameyaeleza Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Rugemeleza Nshala alizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 24, 2026 jijini Dar es Salaam.

Dkt. Nshala amesema uamuzi wa Lissu umetokana na mawakili wake ambao ni Nashon Nkungu na Paul Kisabo kwenda gerezani kwa lengo la kumuona Lissu lakini uongozi wa Gereza la Ukonga liliwaambia kuwa utaratibu utatumika kama ule uliokataliwa na Mahakama kuwa Naibu Mkuu wa Gereza, Mwanasheria na Maafisa wengine watakuwepo katika chumba wanachozungumza na Lissu.

Dkt. Nshala amesema Lissu alikataa kuzungumza na mawakili wake akisema utaratibu ulioagizwa na Mahakama kuwa maafisa wakae umbali wanaoweza kuona na sio kusikia umekiukwa.

Baada ya hapo Dkt. Nshala anasema alienda gerezani mwenyewe ambapo aliambiwa kuwa hawezi kuonana na Lissu kwa sababu amesema hayupo tayari kuzungumza ndipo alipokataa ujumbe huo na kutaka kuonana na Lissu lakini hata alipofanikiwa kuonana nae msimamo ulikuwa ule ule kuwa hawezi kuzungumza mpaka amri ya Mahakama ifuatwe.Jambo TV inaendelea na jitihada za kulitafuta Jeshi la Magereza ili kupata ufafanuzi wa tuhuma hizi.

Pia soma: Mawakili wa Lissu waibuka kidedea, Gereza la Ukonga lapewa maagizo
Samia Suluhu anateseka sana
 
Hiyo haiondoi kuwa hatanyongwa hadi kufa.
 
"Mahakama zenyewe za simu moja tu?" - Rostam Aziz.
 
Siyo tunasema,

Mungu huwekeza mambo makubwa kwa watu maalumu, na hao watu wakishakufahamu kile Mungu amewekeza, hupigana kufa na kupona ili kutimiza hicho,

Lissu, ni mtu aliyetwishwa zigo kubwa la nchi hii, ila upinzani ni mkubwa kutoka kwa shetani na watu wake CCM, Lissu mbali na mateso yote hayo, hutosikia akiikana nchi yake na kile alichowekewa ni hadi atimize hata kama itagharimu maisha yake

Na hiyo yote ni kwa ajiri ya nchi Tajiri tajiri Tanzania including na mijinga ya CCM inayokubali kuuishi umasikini wa kusababishiwa na CCM
this is completely nonsense🐒
 
Kwanza mahakama ndiyo nini ? Watu sikuhizi hawaiheshimu mahakama kwa sababu imefichwa mfukoni ,TANZANIA hatuna Chombo cha haki kinachoitwa mahakama ,utopolo mtupu pyyuuuup ,pumbavu zao tunawalipa kwa kodi zetu harafu wanaitumikia ccm ??? Ila subiri muda sio mrefu mtauona mkono wa Mungu aliye jaji Mkuu mwenye haki zote
 
Back
Top Bottom