King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 2,374
- 3,311
Huo mchezo ninafanyaga na mamakoNi bwanako anayekuf.iraga
Huo mchezo ninafanyaga na mamakoNi bwanako anayekuf.iraga
Ukitumia makalio kufikilia unaweza ukadhani lissu ndiyo mwenye hasaraAkigoma kula mwenye hasara hapo ni nani?
lisu kiumbe pekee aliyeshindikana kununuliwa na watawalaok.
well done,
nakumbuka aliwahi kua anaenda nakontena la ubwabwa na maharagwe, hadi kizimbani, hivi alikua kapatwa na nini siku zile?
halafu,
ukiona binadamu alie hai anakataa mambo ya dunia hii kama vile kula chakula, kunywa maji n.k, ujue anatamani mambo ya mbinguni
binafsi namtakia kila la kheri kwenye jambo hilo la hiyari analoanza rasmi j3 tar.26.10.2030, I hope atamaliza rasmi kama kiki ya kuatract public sympathy 29.10.2026 right?
well done fr.charz kitma for this cript🐒
Mahakama haina nguvu km magereza, Jaji hana nguvu mbele ya Polisi.Hii inatia mashaka sana, Mahakama imeamua kivyake na magereza kivyake daaah
Wewe bado katoto huwezi kujua maana yake.Akigoma kula mwenye hasara hapo ni nani?
Unamfananisha Gandhi na huyo mchumia tumbo lisu?Ingia google kamsome Mahtma gandhi,
Alipogoma kula ilitokea nini!
Sure,lisu kiumbe pekee aliyeshindikana kununuliwa na watawala

Lisu ndio alisababisha watu wakafanya vurugu na kufa kwa ujinga wake, malipo yake ndio haya, na atateseka sanaSiyo tunasema,
Mungu huwekeza mambo makubwa kwa watu maalumu, na hao watu wakishakufahamu kile Mungu amewekeza, hupigana kufa na kupona ili kutimiza hicho,
Lissu, ni mtu aliyetwishwa zigo kubwa la nchi hii, ila upinzani ni mkubwa kutoka kwa shetani na watu wake CCM, Lissu mbali na mateso yote hayo, hutosikia akiikana nchi yake na kile alichowekewa ni hadi atimize hata kama itagharimu maisha yake
Na hiyo yote ni kwa ajiri ya nchi Tajiri tajiri Tanzania including na mijinga ya CCM inayokubali kuuishi umasikini wa kusababishiwa na CCM
Lisu atateseka sana, kwa upumbavu wake wa kuhamasisha vuruguSiyo tunasema,
Mungu huwekeza mambo makubwa kwa watu maalumu, na hao watu wakishakufahamu kile Mungu amewekeza, hupigana kufa na kupona ili kutimiza hicho,
Lissu, ni mtu aliyetwishwa zigo kubwa la nchi hii, ila upinzani ni mkubwa kutoka kwa shetani na watu wake CCM, Lissu mbali na mateso yote hayo, hutosikia akiikana nchi yake na kile alichowekewa ni hadi atimize hata kama itagharimu maisha yake
Na hiyo yote ni kwa ajiri ya nchi Tajiri tajiri Tanzania including na mijinga ya CCM inayokubali kuuishi umasikini wa kusababishiwa na CCM
Kwa Umri huu haujawahi sikia watu wamegoma kula magerezani zaidi ya Lisu?
Kumbe ni nani?Ukitumia makalio kufikilia unaweza ukadhani lissu ndiyo mwenye hasara
Hatari sana,hivi hao walienda kama wageni,ndugu au mawakili? Je,kama ni mawakili,wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi kamanda?Hii inatia mashaka sana, Mahakama imeamua kivyake na magereza kivyake daaah
SijawahiKwa Umri huu haujawahi sikia watu wamegoma kula magerezani zaidi ya Lisu?
Mahtma Gandhi aliwekwa kolokoloni na serikali ya India au wakoloni?Ingia google kamsome Mahtma gandhi,
Alipogoma kula ilitokea nini!
Kamanda tunakusubiri mbona ujitokezi?Twendeni road tu wanangu no option.