Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Lissu atangaza mgomo wa kula chakula kuanzia Jumatatu, 26/10/2026

Mjomba Lissu hakipata tatizo la kiafya sababu za kugomea Msosi

tunajua tunaanzia kwa Mwanasheria wake mana ndio chanzo ya
tatizo kugomea misosi halali ya Magereza ✍️
 
Hapana !

Yupo updated ya nini kinajiri jikoni!

Hawezi tangaza hunger strike kizembe anajua anachokifanya!
Katangaza nani Lissu au nani???

Kitambi cha Mjomba Lissu hakina msemaji wake ✍️

tumbo ni Serikali kamili kwenye mwili wa
Mwanadamu Kitambi Kitasema
chenyewe ❗:BanHammer:
 
Kwanini wanausalama wa nchi hii Wana ruhusu mahakama kudharaulika kiasi hiki wakati wameapa kuilinda jamuhuri kwa kiapo cha kifo!
 
akigoma kula anamkomoa nani? mnaleta utoto.
Huwezi kuelewa,bado kijana mdogo!

A hunger strike is a non-violent method of protest where a person deliberately refuses to eat (and sometimes drink) for a prolonged period to force authorities or institutions to meet specific demands.
 
Lissu hakutangaza
mgomo wa kula ❗ ❗

Kwanza Katangaza mgomo mwengine sio mh Lissu
mwenyewe

lkn mbaya zaidi Kaja kututangazia sisi tusio husika na kumpa Msosi ndugu Lissu

Yeye mwenyewe mjomba Lissu hasipate shida kutwambia sisi Wananchi tupo huru
tunabunganya KUKU kwa time zetu

kama kachoka kula Dona na nyama jumapili kama leo basi awaambie wenye kumpa Msosi
sio sisi Wananchi uraiayani huku !!

Msosi upo kisheria kwa mfungwa yoyote!!!

kama vip Mwanasheria wake si hangetakiwa kuandika barua ya kisheria kwenda Magereza kugomea
msosi kisheria ✍️

Kaja kuongea na Wananchi swala binafsi kwanini lile la Wananchi wote Siasa mpaka kwenye kitambi cha Lissu 🤠
Huwezi kuelewa haya mambo,wewe unaleta mzaha tu!

A hunger strike is a method of non-violent resistance where a person deliberately refuses to eat (and sometimes drink) for a prolonged period to make a political protest or demand specific changes.

Issue yake ina public interest,anachokifanya ni kutengeneza public sympathy!
Hapo watu watapaza sauti kulalamikia mamlaka kwanini inamnyima haki yake aliyopewa na mahakama?Pia issue hii italeta attention kwa mataifa,najua BBC Lazima waruke nayo hii habari kesho!
Tayari ulimwengu utajua kinachoendelea Tanzania!
Hii yote italeta picha mbaya kwa serikali!
Lazima pressure itakuwepo tu!

NB:Sio Kila hunger strike inaleta matokeo chanya,ila mara nyingi kama anayefanya hivyo yuko kwenye haki basi huleta matokeo chanya!Public,media & international pressure vinaweza kufanya mamlaka zimpe haki yake!

Usipoelewa Sasa,utaelewa utakapoona matokeo!
 
Kesi imeisha? Au ukisubiri hukumu sheria zinasimama?
Kesi inasubiri hukumu kwahiyo hamna tena utetezi. Mwisho,hao mawakili walienda kumuona Lissu kama mawakili wake kwenye kesi hipi maana kesi hii inayosubiri hukumu Lissu alijitetea mwenyewe.
 
Kesi inasubiri hukumu kwahiyo hamna tena utetezi. Mwisho,hao mawakili walienda kumuona Lissu kama mawakili wake kwenye kesi hipi maana kesi hii inayosubiri hukumu Lissu alijitetea mwenyewe.
Kujitetea mwenyewe hakukuondoa uwepo wa mawakili. Soma taarifa za hiyo kesi kama kuna mahali mawakili wa Lisu waliondolewa. Unachanganya kujitetea mwenyewe, na kutokuwepo mawakili.
 
Kujitetea mwenyewe hakukuondoa uwepo wa mawakili. Soma taarifa za hiyo kesi kama kuna mahali mawakili wa Lisu waliondolewa. Unachanganya kujitetea mwenyewe, na kutokuwepo mawakili.
Tatizo ni moja tu,kuamini kua kila kitu serikali inakosea. Kwenye kesi ya Lissu mawakili wa upande wa Lissu waliondolewa kabisa baada ya yeye kuandika na kusema atajitetea mwenyewe nasio mawakili. Je,hao mawakili walienda kwa mteja wao kama mawakili wa kesi hipi?
 
Narudia tena, hakuna popote mawakili wa Lisu waliondolewa kwenye hiyo kesi, bali aliamua kujitetea mwenyewe maana uwezo huo anao, na lengo lake lilikuwa ni kupunguza muda wa kesi, kwani kila wakili angemtetea kwenye hiyo kesi ingechukua muda mrefu. Lakini waliendelea kuwepo kwa ajili ya kumpa taarifa alizozitaka kwani yeye yuko jela asipo na uwezo wa kufikia baadhi ya rejea za kesi. Kwahiyo toka kwenye box la ujinga ili uwe na uelewa wa kutosha wa mambo.
 
So unaona sawa gereza kukataa amri ya mahakama 🤔
Kama Lisu mwenyewe amekataa kutii amri ya Mungu kabisa ya kutii mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe, magereza ni nini gentleman?
Si itakua unafiki wake tu 🐒
 
Kama Lisu mwenyewe amekataa kutii amri ya Mungu kabisa ya kutii mamlaka za wanadamu zilizotoka kwa Mungu mwenyewe, magereza ni nini gentleman?
Si itakua unafiki wake tu 🐒
Gentleman,kuwa serious kidogo na sio kila kitu ni siasa
 
Tatizo ni moja tu,kuamini kua kila kitu serikali inakosea. Kwenye kesi ya Lissu mawakili wa upande wa Lissu waliondolewa kabisa baada ya yeye kuandika na kusema atajitetea mwenyewe nasio mawakili. Je,hao mawakili walienda kwa mteja wao kama mawakili wa kesi hipi?
Aisee,inamaana Jaji aliyehukumu hiyo kesi na kumpa ushindi Lissu wa kuonana na mawakili wake kwa faragha,hajui hayo unayouliza hapa?
 
Gentleman,kuwa serious kidogo na sio kila kitu ni siasa
Gentleman,
sasa kama mtu hawezi kutii sheria na katiba ya nchi anaweza kutii sheria ya Mungu kweli?

hii ya eti kudai anagoma kula kwasababu mawakili wamezuiwa kuonana nae ni unafiki wa kiwango cha juu sana, kwasababu aliwakataa mawakili hao tangu mwanzo wa kesi hadi mwisho.

huo unafiki umuathiri yeye binafsi, nawasihi magereza wasije kuruhusu hiyo nonsense mpaka kwanza ahukumiwe 🐒
 
Aisee,inamaana Jaji aliyehukumu hiyo kesi na kumpa ushindi Lissu wa kuonana na mawakili wake kwa faragha,hajui hayo unayouliza hapa?
Sijiu kama unaelewa mahana ya hukumu iliyotolewa mkuu.Hukumu inasema kua Lissu anayo haki ya kukutana na mawakili wake ila hukumu aijataja mawakili wake wa kesi hipi. Sasa kesi aliyonayo inayo subiri hukumu nikua Lissu akuwa na mawakili maana aliwatoa na kusema atajitetea mwenyewe. Swali,ni je,mawakili hao wanamwakilisha Lissu kwenye kesi hipi? KARIBU UNIELIMISHE
 
Narudia tena, hakuna popote mawakili wa Lisu waliondolewa kwenye hiyo kesi, bali aliamua kujitetea mwenyewe maana uwezo huo anao, na lengo lake lilikuwa ni kupunguza muda wa kesi, kwani kila wakili angemtetea kwenye hiyo kesi ingechukua muda mrefu. Lakini waliendelea kuwepo kwa ajili ya kumpa taarifa alizozitaka kwani yeye yuko jela asipo na uwezo wa kufikia baadhi ya rejea za kesi. Kwahiyo toka kwenye box la ujinga ili uwe na uelewa wa kutosha wa mambo.
Acha kupotosha,ukishasema kua utajitetee mwenyewe na wala uhitaji mawakili ni automatically mawakili hao awatambuliki ata kwenye column wanaondolewa. Nikikuuliza kua ebu nitajie mawakili walioshiriki kwenye shauri la Lissu kuanzia wakati wa utetezi wake sijui kama utaweza kumtaja ata mmoja. Unajua ili linaweza kuumiza sana lakini shida ni Lissu kwamba yeye anafikiri ni mjuzi kuliko watu wote ,jambo ili sio zuri. Niliwai kumshauri kua anahitaji wakati mwingine awe msikivu kwa mawazo na watu wengine ila ni kaliba yake. LA KUONDOA MAWAKILI WOTE ALIKOSEA SANA,ATA AKINA HECHE ,RUPIA NA GOLUGWA ALITAKA KUWAKATAA.
 
Kujitetea mwenyewe hakukuondoa uwepo wa mawakili. Soma taarifa za hiyo kesi kama kuna mahali mawakili wa Lisu waliondolewa. Unachanganya kujitetea mwenyewe, na kutokuwepo mawakili.
Inawezekana ujui kazi au uwepo wa mawakili kwenye kesi aisee.
 
Back
Top Bottom