Brazaj kwanini sisi tujadili anayoyasema Lisu na tusijadili kilichosainiwa baina ya serikali hizi mbili?
Tanzania na Dubai wamesaini kushirikiana katika kuendeleza na kuboresha bandari za Tanzania baharini na maziwani ila kwa makubaliano na TPA na DPW.
View attachment 2677403
View attachment 2677407
Maana ya mkataba usio na kikomo ni nini? Na kwanini wenyewe tu ndiyo wenye haki ya kusitisha mkataba na siyo pande zote.Haina maana tumeuzwa?
Sio kwamba bandari za Zanzibar hazina faida ila Rais Samia anaongoza nchi ipi?
Hawezi kuingilia mamlaka ya Zanzibar na hilo Lissu anajua kama mwanasheria. Sasa anapotokea mtu akasema maneno lazima upime kama ni mzima kiakili.
Rais anatumikia Jamhuri ya Muungano haijalishi anatoka upande gani.
Wewe huna tofauti na yule Mbunge Musukuma aliyepata Ubunge kwa matunguli.Hata hao viongozi wa Chadema walipozaliwa hamna bandari kila mtu arudi mkoa wake.. Bandari ni za watu wa pwani si mnaleta ubaguzi.
Hata hao viongozi wa Chadema walipozaliwa hamna bandari kila mtu arudi mkoa wake.. Bandari ni za watu wa pwani si mnaleta ubaguzi.
Kilichosababisha haya yote ni wahusika wenyewe yaani Rais, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara husika. Wote watatu wametoka upande mmoja. Bandari iliyoingizwa kwenye Mkataba ni wa upande tofauti na maeneo yao wanakotoka. Huku Bandari ya upande wao wakiweka pembeni. Hapo ni Nani Wabaguzi????Point. ! Na hiyo ndio inayopelekea pia baadhi ya watu kufanya conclution ya kwamba hii yote ni Udini Udini tu !!
Ni vyema tukatumia majina na vyeo vya watu tunaotaka ama kuwakosoa ama kuwasifu badala ya kutumia kabila au nasaba ya mtu au kule watokako !!
Baada ya muungano wa 1964 sisi sote tunatambulika kama Watanzania !! Haijalishi wewe ni mzanzibari au ni mtanganyika by origin !
Kilichosababisha haya yote ni wahusika wenyewe yaani Rais, Waziri na Katibu Mkuu wa Wizara husika. Wote watatu wametoka upande mmoja. Bandari iliyoingizwa kwenye Mkataba ni wa upande tofauti na maeneo yao wanakotoka. Huku Bandari ya upande wao wakiweka pembeni. Hapo ni Nani Wabaguzi????
Si mnataka ubaguzi pumbavu.Wewe huna tofauti na yule Mbunge Musukuma aliyepata Ubunge kwa matunguli.
Matusi ya nini sasa ndugu?Si mnataka ubaguzi pumbavu.
Rais ndo huyo tena wa Tanganyika huyo Tundu lissu hana hadhi ya kuwa hata mwenyekiti wa kijiji .Matusi ya nini sasa ndugu?
Hatujaacha kutambua au kurejea alikozaliwa rais na hakuna jipya hapo. Hoja ya Lissu so alikozaliwa rais.
Bitiama, Lupaso, Msoga, Chato nk kupo kwenye rekodi tunakutumbua na haijawahi kuwa taabu.
Zingatia teuzi zilipojikita Kanda ya ziwa tulisema. Hapa tunasema aliyeuza bandari za bara ni mzanzibari labda kama wewe unadhani ni mtu wa bara?
Rais ndo huyo tena wa Tanganyika huyo Tundu lissu hana hadhi ya kuwa hata mwenyekiti wa kijiji .
Anasema eti Rais mzanzibar anauza mali za Tanganyika ,swali ilikuwaje mpka mzanzibar aongoze Tanganyika?Hoja ipi kati ya alizotia Lissu unazojibu hapa ndugu? Hoja haipigwi kwa rungu. Hoja hujibiwa kwa hoja:
Sakata la Bandari: Hayati Magufuli apewe maua yake
Anasema eti Rais mzanzibar anauza mali za Tanganyika ,swali ilikuwaje mpka mzanzibar aongoze Tanganyika?
Hawo wote ma fisi kwenye orodha yako wekula hongo.Faizafoxy siku hizi ameanza kutafuna nguruwe na ashushia bapa kwa hela za hongo nilimuona Corner Bar.Mh 🤔 ngoja manguli wa mikataba waje akina.. Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS tuone wanadadavua vp kisheria!!