LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

Hoja hupingwa kwa hoja:


Bandari zote bara zimeuzwa!

Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
Gharama za uhuru wa kutoa maoni ndizo hizi. Kwamba mwanasiasa mmoja anawalisha matango pori wanajamii wengi na uongo wake unakuwa ukweli.

Ni gharama za kuongoza nchi ya kidemokrasia. Hayati JPM hakukubaliana na mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Nikimaanisha majibu upande wa mwanasheria mkuu wa serikali ni mepesi na sijaona hoja alizotoa shivj zikijibiwa ndo mana nasema sijaelewa

Tuko pamoja ndugu. Rasilimali zetu haziwezi kuachwa kupewa majibu timilifu.
 

Bottom line, rasilimali ni za wananchi:

DP World: Kimeumana mahakamani, salamu kwao
 
Hoja yake ni konki, swala la
bandari ni la muungano SASA kwenye huu mkataba wa milele mbona Zanzibar haipo
 
Mh 🤔 ngoja manguli wa mikataba waje akina.. Lord denning Faizafoxy covax GUSSIE choiceVariable HIMARS tuone wanadadavua vp kisheria!!
Huyu huyu FaizaFoxy wa dini ile ya mabikra 72 peponi anaowaona waarabu kama miungu ndio aje adadavue ?! Waislamu ni bure kabisa Dini ya kuhubiriwa ukaue watu eti ukifa utaenda kupewa mabikra 72 na kuna mijinga ngozi nyeusi ti Boko haram yanakwenda kuua ndugu zao eti watapewa mabikra 72
 
Lissu si mkweli. Eti ameuza!! Huyu ni mchanganishi na ni mbaguzi balaa.
Wengi wetu hatumwoni hivyo. Si Walisema wengi wape? Jitathmini ndugu hauko upande sahihi wa historia.
 

..chimbuko la yote haya ni muungano wa serikali mbili.

..msiwalaumu Watanganyika kunung'unika kwamba hawana serikali na Raisi wao.

..sidhani kama Wazanzibari wangefurahi kama SMZ ingeongozwa na Mtanganyika.

..Balozi Seif Iddi alipokuwa Makamu wa Rais Zanzibar wako waliokuwa wakilalamika kwamba ni Mgogo sio Mzanzibari.
 
Wengi wetu hatumwoni hivyo. Si Walisema wengi wape? Jitathmini ndugu hauko upande sahihi wa historia.
Lissu ni muongo kwa kusema bandari zetu zimeuzwa! Hapa ameongopa ndo maana yeye siyo presidential material hata kidogo.
 
Kama kauziwa,ataondoka nayo?
 
Mnakosea kusema Tanganyika imeuzwa, Tanganyika haijauzwa, kimsingi Tanganyika imegaiwa bure milele kwa wajomba baada ya wao kutufadhili Royal Tour.
Kama wamegaiwa bure,wataibeba waondoke nayo?
 
Kwani Tanganyika munayo serikali tunachojua sisi ni Serikali ya Muungano hata Mzanzibar anaongoza sasa kama mkataba ni wa kuiuza bandari basi itauzwa bandari ya Jamhuri ya Muungano na sio Tanganyika someni hio IGA wapi imetajwa Tanganyika.

Rais Samia ana mamlaka kwenye Serikali ya Muungano na sio Serikali ya Zanzibar sasa ukitaka ajumuishe bandari ya Zanzibar atajumuishaje kitu hana mamlaka nacho yaani princple ndogo kama hii huyo mwanasheria wrnu inamshinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…