Uchaguzi 2020 Lissu kuisimamisha Dar (Agosti 28, 2020). Kampeni rasmi Mbagala Zakhiem

Kesho Zakhiem tunafanya Mwana ukome tukimkaribisha rais wetu jasiri Tundu Lisu. Wimbo ni mmoja tu # Ni Yeye 2020!
 
Nilisoma humu kuwa Chato na Geita nzima itakwenda Chadema
Wale wanamfahamu mgombea wa CCM toka utoto wake, utoto wa baba yake hata utoto wa babu yake na tabia zao, kwa hiyo hawawezi kuambiwa lolote na Polepole au Bashiru kuhusu mgombea huyo.

Wananchi wengi waliobaki walimfahamu miaka 5 iliyopita baada ya kutolewa toka kwenye mbeleko ya kiongozi aliyependwa akawaaminisha anawaletea kiongozi mzuri kumbe bomu kama sote tujuavyo.

Hata miaka 20 ya Ubunge na Uwaziri haikusaidia kujitambulisha kwa sababu Bungeni kazi yake ilikuwa kupiga meza na kusifia viongozi wake wa juu yake bila kuchangia hoja au kupinga chochote. Kwa hiyo wananchi wa Geita na Chato kama wanapenda CHADEMA ni kwa sababu hawampendi mgombea wa CCM kwa kuwa hafai maana wanamjua tosha.
 
Nyie wa CCM kwa nini hamfanyi hivyo hata baada ya miaka 5 ya kuona Makamu wenu wa Rais akiunguruma mbele ya Marais na Wafalme wa dunia wakati Rais wenu akijificha uvunguni kwa shida ya lugha na kisomo? Hafai hata kuwa Makamu wa Rais Wala Waziri Mkuu Wala Waziri wa Mambo ya Nje labda wa Sukumaland. She is a better Presidential material than her boss. Aibu kwetu sote, aibuuuu!
 
Mtanyoka mwaka huu. Yule mshamba ameponea chupu chupu jana NEC
Mwanasheria nguli asiyejua Nini maana ya passport size.

Akishajipatia kura elfu moja za huruma,

Hatimaye atapanda ndege na kurejea kwao Ubelgiji.
 
Mwanasheria nguli asiyejua Nini maana ya passport size.

Akishajipatia kura elfu moja za huruma,

Hatimaye atapanda ndege na kurejea kwao Ubelgiji.
Mmekwama sana uvccm
 
Ni kweli atasimasimamisha Dar na kitakuwa kimbunga kwa kibaraka wa mabeberu (kundi la "wajomba" ambao hutumia chaguzi katika nchi zinazoendelea kuweka vibaraka wao waruhusu ziwe shamba la bibj). Mmoja wao ni Joseph Paul Trip
View attachment 1550151
 

Attachments

  • VID-20200827-WA0002.mp4
    18.7 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…