Reykijaviki
JF-Expert Member
- Aug 25, 2020
- 426
- 653
Kesho Zakhiem tunafanya Mwana ukome tukimkaribisha rais wetu jasiri Tundu Lisu. Wimbo ni mmoja tu # Ni Yeye 2020!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakukuteka wakati wa kurejesha fomu ?Kimenuka !
Asante mh.RaisiKimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim...
Ccm yote itakuwa inamsilkiliza na kumfuatilia mh raisi Tundu lisuKesho panya wote wa kijani watatoka mapangoni kwenda kumsikiliza 'The chosen One' TL.
Wale wanamfahamu mgombea wa CCM toka utoto wake, utoto wa baba yake hata utoto wa babu yake na tabia zao, kwa hiyo hawawezi kuambiwa lolote na Polepole au Bashiru kuhusu mgombea huyo.Nilisoma humu kuwa Chato na Geita nzima itakwenda Chadema
Labda raisi wa wasafi.ndo unaongeleaTupo pamoja sana,Lissu ndiye Rais halali wa Tanzania kuanzia October,2020!
Moto mwingine wa Lissu kuwaka baada ya ule wa NECKimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim...
Mtanyoka mwaka huu. Yule mshamba ameponea chupu chupu jana NECMbelgiji akigombea urais Tanzania.
Hamna kitu ngoja keshi na wagogo japo wapate hela ya kambale.Ni sheeda mkuu, mboga mboga wapo kwa kina matonya
Nyie wa CCM kwa nini hamfanyi hivyo hata baada ya miaka 5 ya kuona Makamu wenu wa Rais akiunguruma mbele ya Marais na Wafalme wa dunia wakati Rais wenu akijificha uvunguni kwa shida ya lugha na kisomo? Hafai hata kuwa Makamu wa Rais Wala Waziri Mkuu Wala Waziri wa Mambo ya Nje labda wa Sukumaland. She is a better Presidential material than her boss. Aibu kwetu sote, aibuuuu!Makamu wa Rais ana sura ya Urais kabisa
Lissu sura yake imekaa kimakamu makamu tu
hapo mngefanya change kota,lissu makamu salumu Rais
nawahakikishia kampeni ya mwaka huu ingekua tamu na konki
ila kumweka lissu Urais hilo n sawa na mpishi kupika biriani kwa mchele wa ifakara.
Mwanasheria nguli asiyejua Nini maana ya passport size.Mtanyoka mwaka huu. Yule mshamba ameponea chupu chupu jana NEC
Wamedhamiria kumwaga damu.Kwanini mavazi mekundu?
Ni kweli atasimasimamisha Dar na kitakuwa kimbunga kwa kibaraka wa mabeberu (kundi la "wajomba" ambao hutumia chaguzi katika nchi zinazoendelea kuweka vibaraka wao waruhusu ziwe shamba la bibj). Mmoja wao ni Joseph Paul TripKimbungaaaaaaaaa kilianzia Kanda ya Pwani
Kesho ndio kesho kimbungaaaa kitatibuka Jimbo la Mbagala Zakheim
Ni Uzinduzi wa kampeni ya Rais Mhe Tundu Lissu na makamu wa Rais Mhe Salum Mwalimu, kuanzia saa tano asubuhi
Bawacha, Bavicha, Bazecha, mwanachama na mwananchi tukutane Mbagala Zakheim
Rangi ya kampeni zetu ni Nyekundu
Karibuni sana wana mageuzi wote kwa ujumla wetu tuianze safari ya mafanikio,
Umoja wetu ndiyo ushindi wetu wa kuiondosha CCM madarakani. View attachment 1549850View attachment 1549851