Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Labda anataka akimbilie tena kwa wanaume zake huko UbelgijiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Tunafanya uchaguzi au uhuni?Lisu hajielewi unazuiaje haki ya mtu ya kikatiba ya kura? Anayetaka kupiga kura?
Lisu hana ubavu wa kuzuia utekelezaji wa katiba
Binafsi nitaenda kura na sioni yeyote wa kunizuia nisitekeleze haki yangu ya kikatiba ya kupiga kura
Bora wewe mliyezoe kuiba kura bila aibuHuyu akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Tunaomba mjitokeze eti mje mtuzuie kupiga kura. Lazima tuwang'oe meno siku hiyo. Yaani unizuie kupiga kura wakati ni haki yangu!!Message sent!
Unaelewa maana ya jeshi la wananchi 😁😁😁Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Kama ni uhuni usipige kura tuache sisi tupige tunaotaka kupiga kura la sivyo tutakuumiza wewe.Tunafanya uchaguzi au uhuni?
Wala hatutishiki.Tunaomba mjitokeze eti mje mtuzuie kupiga kura. Lazima tuwang'oe meno siku hiyo. Yaani unizuie kupiga kura wakati ni haki yangu!!
And derivedMessage sent!
Mimi binafsi naamini ni uchaguzi wewe kama huamini sio kesiTunafanya uchaguzi au uhuni?
Tunashauri watoto wa Lisu na mke wake wawe msitari wa mbele tutamuunga mkono kabisaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Ujitokeze hiyo tarehe unizuie kupiga kura tuone kama una ubavu huo.Wala hatutishiki.