PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.

View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).

Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'

View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.

"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.

Chanzo: Mwananchi
Kuna Sheria inasema unaweza kuwazuia wengine kupiga kura?Huyu ni kiongozi dikteta sana
 
Wakati chadema ikiendelea kuandamana siku ya uchaguzi mkuu,CCM ,itakuwa inaendelea,kuhesabu kura halali na za wizi.
Matokeo yake, chadema itakosa wabunge nchi nzima na Madiwani Nchi nzima!
 
Haiwezekani hii nchi tumejaa wajinga
Wanawake tunapo waonya kuhusu kutamani kwenu mamlaka za wanaume huwa mnatuona wapumbavu ni hatari kwa taifa kuongozwa na mwanamke ...tatizo la wanawake awakupewa AKILI YA UONGOZI....wanaweza kuwa na akili nyingine zote ila kamwe mwanamke awezi kuwa na akili ya kuongoza
 
Utawala wa kike sio ishu watz tu hatujielewi..... Asilimia kubwa ni watu wa ovyo
 
Tanzania hii kuna vyama pinzani vingapi ? Kikisusa kimoja vyengine vitashiriki
 
Utawala wa kike sio ishu watz tu hatujielewi..... Asilimia kubwa ni watu wa ovyo
Utawala wa mwanamke ni ishu kubwa sana ni ngumu kumuondoa mwanamke madarakani hata awe wa hovyo kiasi gani kuliko mwanaume kwa sababu mwanamke akipata kuwa juu ya wanaume anakuwa na kiburi cha upumbavu ulio tukuka na ndiyo kinacho mkuta SAMIA NA NCHI YETU KWA SASA ..... WAPO WATU WANADHANI KUMUONDOA SAMIA MADARAKANI NI KAZI RAHISI KWA SABABU AWAJUI SIRI YA MWANAMKE KUWA KICHWA NI NINI?
 
Utawala wa kike sio ishu watz tu hatujielewi..... Asilimia kubwa ni watu wa ovyo
Utawala wa mwanamke ni ishu kubwa sana ni ngumu kumuondoa mwanamke madarakani kuliko mwanaume kwa sababu mwanamke akipata kuwa juu ya wanaume anakuwa na kiburi cha upumbavu ulio tukuka na ndiyo kinacho mkuta SAMIA NA NCHI YETU KWA SASA ..... WAPO WATU WANADHANI KUMUONDOA SAMIA MADARAKANI NI KAZI RAHISI KWA SABABU AWAJUI SIRI YA MWANAMKE KUWA KICHWA NI NINI
 
Back
Top Bottom