Huyo shoga wanaume wake wako UbelgijiWetu na wewe š

Alishapigwa risasi 32, hakuna anachohofia tena, labda andaeni risasi 50.Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
MropokajiMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Huyo risasi ni moja tu wala hahitaji risasi zote hizo ni uongo tu na propaganda tu.Alishapigwa risasi 32, hakuna anachohofia tena, labda andaeni risasi 50.
Mbona mmepaniki?Mimi binafsi naamini ni uchaguzi wewe kama huamini sio kesi
Sheria za uchaguzi hazilazimishi mtu kwenda kupiga kura lakini haziruhusu kumzuia mtu mwingine asipige kura
Lisu anachotaka kuzuia watu wengine wasipige kura hilo ni kinyume cha katiba ya nchi na Sheria za nchi
Na majeshi moja ya kazi zao walizoapa ni kulindq katiba iliyopo
Lisu na genge lake wanajaribu kuvunja katiba
Hilo jambo sio rahisi Lisu anawapotezeeni muda tu na kuwalisha ujinga
Eti na ukilema wake huo!Mropokaji
Aandamane kwenda wapi
Hata huo uwezo wa kuandamana anao?
Andaeni hiyo risasi moja.Huyo risasi ni moja tu wala hahitaji risasi zote hizo ni uongo tu na propaganda tu.
Haitaji kuandaliwa zipo tu.Andaeni hiyo risasi moja.
Ingekuwa hivyo tayari pangekuwa na mabadiliko. Wanawake ndio wako mstari wa mbele kuandamana bila uoga wakati hao wanaume ama wamejificha au wanawabeza. Wanawake wanastahili maua yao. Siku zote wao ndio wapambanaji wakuu lakini kwenye meza kuu hawaonekani.Maandano hayawezekani, hii nchi ni ya wanawake tupu
Kadri siku zinavyozidi kuongezeka na kichaa chake kinaongezeka. Mpaka siku ya Uchaguzi Mkuu atakuwa Mirembe!Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Wachaga rumeshawasanukia na biashara yenu ya siasaHuyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Umesemaje hapo?Maandano hayawezekani, hii nchi ni ya wanawake tupu
Mimi siku hiyo napata kisingizio cha kumshughulikia mbaya wangu kwa kusema alitaka kunizuia nisitimize haki yangu ya Kikatiba ya kupiga kura ndio ikawa hivyo. Ahahahahaha!!!Tunaomba mjitokeze eti mje mtuzuie kupiga kura. Lazima tuwang'oe meno siku hiyo. Yaani unizuie kupiga kura wakati ni haki yangu!!
Hatapewa hata nafasi ya kuhamasisha maandamano asicheze na dola. hizo ni drama tu.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Unampongeza gaidi mwenzako.Maua Mkuuššššššššššššššššššš¼šøš¼šøšš»š¼
Huu ndio ukweli.Umzuie mtu kupata haki yake.Tunaomba mjitokeze eti mje mtuzuie kupiga kura. Lazima tuwang'oe meno siku hiyo. Yaani unizuie kupiga kura wakati ni haki yangu!!
Huyu analolitafuta,atalipata,anamchezea simba sharubu.Hatapewa hata nafasi ya kuhamasisha maandamano asicheze na dola. hizo ni drama tu.
Huu ndio ukweli.Mimi binafsi naamini ni uchaguzi wewe kama huamini sio kesi
Sheria za uchaguzi hazilazimishi mtu kwenda kupiga kura lakini haziruhusu kumzuia mtu mwingine asipige kura
Lisu anachotaka kuzuia watu wengine wasipige kura hilo ni kinyume cha katiba ya nchi na Sheria za nchi
Na majeshi moja ya kazi zao walizoapa ni kulindq katiba iliyopo
Lisu na genge lake wanajaribu kuvunja katiba
Hilo jambo sio rahisi Lisu anawapotezeeni muda tu na kuwalisha ujinga
Anizuie mtu kupiga kura,ndio atajua hajui.Mmeshaona mtashindwa,kwenye kura,mnatafuta njia ya kusema,mumeonewa kwa kutotii sheria bila shuruti.Yaani cha Moto kitawaka mitaani,ndiko kwenye wanachama wengi wa Chadema,ukitaka kupiga kura, kapigie kituo cha polisi