Wewe huwa unaandamana hapa JFTunataka tuone Kama police wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima kila kata Bora wachache tufe lakini kizazi kijacho like matunda Bora
Tutaandamana nchi nzima kila kata
Unawasemea watanzania wa wapi mkuu? Tuwe wakweli bwana..hata wewe utaandamana kwenye keyboard.Tunataka tuone Kama police wanaweza kuzuia maandamano nchi nzima kila kata Bora wachache tufe lakini kizazi kijacho like matunda Bora
Tutaandamana nchi nzima kila kata
Huyo Lissu na LemaGaidi namba moja nchi hii ni Samia
Lissu Shikilia hapo hapo mpaka wabaki na chupi tu!!
Tutauzuia UCHAFUZI tuko tayari kwa UCHAGUZI.Mtajuana wenyewe. Sisi tunachojua uchaguzi upo Octoba 2025.
Jaribuni na majina yenu feki hukuBora wewe mliyezoe kuiba kura bila aibu
Mh! nini maana ya tafsiri ya mwanaume mbele yako..?Maandano hayawezekani, hii nchi ni ya wanawake tupu
Shithole!Tutauzuia UCHAFUZI tuko tayari kwa UCHAGUZI.
Mwanaume ni Lisu 😁 sitaki maswali tenaMh! nini maana ya tafsiri ya mwanaume mbele yako..?
Tanzania imefikishwa na hapo na CCM ndio maana tunataka tuitoe kwenye huo ushithole.Shithole!
Lisu ameshatengeneza uhaitaji wa kupeleka depo kila kitengo watoto wa masikini weka vyeti vyako sawa op ya miez 6 mpk uchaguz mtarud kumaliza kwa hyo police jw magereza uhamiaji kaeni tayar kuchukua mafunzo hongera lissuLisu hajielewi unazuiaje haki ya mtu mwingine ya kikatiba ya kupiga kura anayetaka kupiga kura?
Lisu hana ubavu wa kuzuia utekelezaji wa katiba
Binafsi nitaenda kura na sioni yeyote wa kunizuia nisitekeleze haki yangu ya kikatiba ya kupiga kura
SILLY STATEMENT"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Nanga kama nanga katika ubora wako.Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Mwanaume wako!Mwanaume ni Lisu 😁 sitaki maswali tena
Wetu na wewe 😁Mwanaume wako!
And derived
And delivered sio derived. Ila nyinyi mtaandamana na sisi tutapiga kura panapo majaaliwa ya Mungu.And derived