PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.

View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).

Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'

View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.

"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.

Chanzo: Mwananchi
wameanza kulegea taratibu japo wanaweweseka sana. No reform no elections taratibu inaanza kua null and void 🐒
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.

View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).

Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'

View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.

"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.

Chanzo: Mwananchi
Hilo wazo la maandamano ndio halifai kabisaaa!.
Hakuna wa kuwalazimisha kupiga kura lakini yupo wa kuwazuia wasiandamane ambaye ni IGP Wambura.
Kuandamana siku ya uchaguzi ni wazo la kijinga sana kama sio la kipumbavu.
Hakuna mtu anayejipenda atakayethubutu kuandamana siku ya uchaguzi kwa sababu kipigo watakachopewa na polisi hakina mfano!
Niafadhali wangojenuchaguzi upite halafu waandamane kupinga matokeo.
Lakini
KUANDAMANA SIKU YA UCHAGUZI ?!?!?!
 
Kwani kuna sheria gani inaruhusu kuua wagombea wa upinzani au kuwateka na kuwajeruhi?
Screenshot_2025-04-08-00-22-21-1.png
 
Wakati chadema ikiendelea kuandamana siku ya uchaguzi mkuu,CCM ,itakuwa inaendelea,kuhesabu kura halali na za wizi.
Matokeo yake, chadema itakosa wabunge nchi nzima na Madiwani Nchi nzima!
Ss cha ajabu kipi? Mbona 2020 walikuwa busy kuhesabu kula n wakapata Mbunge mmoja?

Hoja yako haina mashiko mzee…
 
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.

View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).

Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'

View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.

"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.

Chanzo: Mwananchi
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
 
Tunashauri watoto wa Lisu na mke wake wawe msitari wa mbele tutamuunga mkono kabisa
Mke na watoto wake wanaishi majuu. Anataka watoto wetu ndio wajitokeze wakati yeye familia yake wanakula bata kwa trump!
 
Yule Hamza aliyezulumiwa madini yake na polisi alifanyaje imagine sisi tukizulumiwa kura zetu na Polisi Time Feki Samia na Mchengerwa tutafanya nini.
Uzulumiwe umepiga kura? Yaani utakua unapambania kitu usichoshiriki? Are y people serious?
 
Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa

Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Sisi ccm tunaogopa nini haswa kwenye hiyo katiba mpya?? Si kwa ajili ya vizazi vyetu?? Nini Athari zake ikibadilishwa kwetu na sisi wananchi wanatupenda .
 
Wewe Ccm toka Lini?

Wewe boya Ccm atufichi majina yetu na kuandika majina feki kama wewe

Rasimu Ipo mezani na sio matakwa ya Chadema na magaidi wengine
 
Back
Top Bottom