Gilbert A Massawe
JF-Expert Member
- May 14, 2015
- 6,359
- 5,329
Chiba ni boya sanaMke na watoto wake wanaishi majuu. Anataka watoto wetu ndio wajitokeze wakati yeye familia yake wanakula bata kwa trump!
Yeye Na Lema familia zao wamezificha huko
Chiba ni boya sanaMke na watoto wake wanaishi majuu. Anataka watoto wetu ndio wajitokeze wakati yeye familia yake wanakula bata kwa trump!
Ataandamana na nani, Lissu anashindwa kujua kwamba wanaongusha harakati za mageuzi nchi hii ni watanzania, ni waoga mno na hawapendi usumbufu, wakishiba ndo kabisaaaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Hahahah hili ukilijua wala hupaswi kuhangaika na kutetea wabongo🤣Ataandamana na nani, Lissu anashindwa kujua kwamba wanaongusha harakati za mageuzi nchi hii ni watanzania, ni waoga mno na hawapendi usumbufu, wakishiba ndo kabisaaa
CDM ubishi wenu ,unatokana na wote kutokujua , kuwa,Muundo wa CCM ni serikali na muundo wa serikali ni CCM.Ss cha ajabu kipi? Mbona 2020 walikuwa busy kuhesabu kula n wakapata Mbunge mmoja?
Hoja yako haina mashiko mzee…
Hili tatizo amelizalisha JK,Kuna mwingine,alikuwa anaosha magari jana,ili akusanye fedha kwa ajili ya kujenga vyoo vya shule nchi nzima, matokeo Yako anataka uwaziri mkuu , baada ya uchaguzi mkuu.Wanawake tunapo waonya kuhusu kutamani kwenu mamlaka za wanaume huwa mnatuona wapumbavu ni hatari kwa taifa kuongozwa na mwanamke ...tatizo la wanawake awakupewa AKILI YA UONGOZI....wanaweza kuwa na akili nyingine zote ila kamwe mwanamke awezi kuwa na akili ya kuongoza
Relax mkuu, hawezi hata kwa 1% ndo maana yupo anaendelea kuropoka.....anachorwa tu na wazalendo wa nchi hii.Huyu baba anapotosha amani ya nchi hatutaki ya kama ya msumbiji
Ndio unizuie kupiga kura?
Ya ovyo kwako,subiri mtaona,wananchi tumechoka.Nchi yetu sote halafu inufaishe maccm machachee.tumekataaaaaMbinu ya ovyo kabisa
umeshalewa weweMwanaume ni Lisu 😁 sitaki maswali tena
Usipende kukariri. Ivory Coast (Cote d'ivoire) ilikuwa moja ya nchi salama sana. Watu hawakujua kuweka hata grill kwenye milango yao na madirisha kwani ilikuwa amani na salama. Leo inaongoza kwa watu wengi hawana viganja kwani walishughulikiwa na waasi.Wapo akina Tindo econonist Chakaza OKW BOBAN SUNZU Lord denning imhotep wataandamana kuuzuia hahahahahahaha
R I P Thadei Ole MushiHuyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Mkuu hawa maccm wa vijiweni wanajifanya kubishana tuu humu kwa sababu hawaelewi impact ya kuzuia uchaguzi tena kwa sababu hizi nzito na zenye ushahidi wa 2019,2020 na 2024. Wakubwa zao wanahaha huko Lumumba na Chamwino hawalali wanawaza hilo kusudio la Chadema na hatma yao kimataifa."Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Damu ya Thadeo Ole Mushi inasumbua mzee baba?Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Vingine tutafanya na tumekuwa tukifanya ila hapo kwenye kuandamana atakuwa na familia yake tu, hahaMwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu amesema siku ya uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, chama hicho kitaitisha maandamano ya kuuzuia uchaguzi usifanyike.
View attachment 3296017
Kauli hiyo ya Lissu, inajibu swali kuhusu mbinu ambayo chama hicho itaitumia kuzuia uchaguzi kuendana na ajenda yake ya 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko, hakuna uchaguzi).
Lissu amesema hayo leo, Jumatatu Aprili 7, 2025 wakati akihutubia mkutano wa hadhara Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara katika ziara ya kutoa elimu kuhusu 'No Reforms, No Election.'
View attachment 3296018Amesema iwapo Serikali haitafanya mabadiliko ya sheria na kanuni za uchaguzi, chama hicho kitawahamasisha wananchi kuandamana kuuzuia uchaguzi usifanyike.
"Hatutaenda kupiga kura, hatutaenda kujiandikisha, siku ya kupiga kura tutaandamana, watatufunga wote? Kuna sheria ya Tanzania inayosema lazima tushiriki kwenye chaguzi za kijinga?" amehoji.
Chanzo: Mwananchi
Hapo mabadiliko ya katiba yafanyike tu ili kusiwe na matumizi makubwa ya vyombo vya ulinzi na usalama.Itafika mahali hata hivyo vyombo,vitachoka kutumika KIJINGA,matokeo yake kutokee anguko.Huyu boya akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa
Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.
Uchaguzi hufanyika siku moja nchi nzima, na kila kituo huwa na polisi mmoja wataweza kuzuia wananchi wote? Kumbuka hapa hakuna kuhamisha polisi wa mkoa huu uwapeleke mkoa mwingine.Tunaomba mjitokeze eti mje mtuzuie kupiga kura. Lazima tuwang'oe meno siku hiyo. Yaani unizuie kupiga kura wakati ni haki yangu!!
we sister kwani uko wap?🐒Nyie akina Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah mmekumbukwa na mwezenu hapa. Mpeni maua yake.
Unazungumziaje yule aliyegawa bandari kwa waarabu wa Oman?Lissu ni Gaidi
Na huu Ugaidi unaratibiwa na Mzungu mbeljiji