PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
 
Wadanganyika hawa hawa waoga wa risasi? Defender moja inahudumia vituo 50 na wote wanatulia.
 
Kwenye wapiga kura milioni 30 ujaweka wazi wangapi ni wafuasi wa itikadi za kijani na ni wangapi wanafuata itikadi ya No reform No election.Hapa ndipo kuna hitimisho ukiweka facts zako sawa
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Moshi na Ariana)kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Idadi ya wananchi gani unaowahesabu wewe,sema idadi ya team lissu na hao team lissu wengi ni ma mashujaa wa nyuma ya keyboard,
Hakuna mtanzania mpumbavu wakuandamanishwa na lissu Kwa manufaa yake yeye anayoyajua mwenyewe,
Watanzania wengi sisi ni Toka nkale,ko mtu aache kwenda kibaruani kutafta mkate wake aende kutetea ugali wa lissu
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
good research!

kwani hayo mabadiliko wanayoyadai yana ugumu kiasi gani kutekelezwa?
 
Usipende kukariri. Ivory Coast (Cote d'ivoire) ilikuwa moja ya nchi salama sana. Watu hawakujua kuweka hata grill kwenye milango yao na madirisha kwani ilikuwa amani na salama. Leo inaongoza kwa watu wengi hawana viganja kwani walishughulikiwa na waasi.
Sudan maandamano yalipewa support na jeshi kwa kusindikizwa hadi El Bashir aka zima zake na anaozea jela hakuna tena anaye muimba "nani kama El Bashir!"
Hivi wanaogopa nini kufanya reforms ili uchaguzi uwe huru na haki?
Nataraji kukuona barabarani kamanda punguza mboyoyo!! Maswali mengine wailing akina Samia!
 
Hii nchi ina watu wajinga sana, ila ndo hivo ujinga ni faida kwa watawala
 
Mimi ni mwanaume ninayejiamini ndo maana siyo chawa na mmbea
relax bas,
ni muhimu huyo kibaka na tapeli wa kisiasa nchini akuchukue wewe pamoja na familia yake ambayo iko ng'ambo mkaandamane pamoja kwenye korido za Brussels Manicipal huko ughaibuni na itapendeza zaidi gentleman 🐒
 
Wakuu nani anaile nyimbo ambayo niliyoisikia huko Masasi ya"...kama mbaya na iwe mbaya..."

Kile kibao muruwa sana.

.
 
Maandano hayawezekani, hii nchi ni ya wanawake tupu
Kuna Uzi umeuliza "siku ya uchaguzi polisi watawezaje kutofautisha huyu anakwenda kupiga kura na yule anakwenda kuandamana"?
Hapa ndipo maandamano yatakapo weza kufanikiwa, kwa sababu siku zote polisi wanafanikiwa kuzuia maandamano kwa kuzuia watu wasitoke majumbani kwao.
Waandamanaji wakifanikiwa kutoka nje, wakajigawa vikundi vidogo vidogo ni wazi kutakuwa na taharuki ambayo wenye Nia ya kupiga kura wanaweza kuogopa na kutokwenda kupiga kura. Sidhani kama polisi watakiwa na askari wa kutosha Nchi nzima kwa wakati mmoja.
 
Anaeyababisha ni ccm na sio wao. Mbona makataa mabadiliko ya sheria ya uchaguzi au mnaogopa kushindwa
Huyu baba anapotosha amani ya nchi hatutaki ya kama ya msumbiji
,
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
Watanzania huwa wako emotional, ni watu wa hisia zaidi. Tukio likitokea mtu ameuliwa kama mzee Kibao wanaweza kuandamana pale pale.

Ila sio watu kuwaambia waandamane kwa katiba, tume huru.

Uchaguzi ukiibiwa kwa wabunge wao watarajiwa kama Lissu, Sugu,Mbowe, Heche, na wengine wenye ushawishi wananchi wanaweza kuandamana. Wanaweza kulinda kura zao kwa gharama zozote kuwalinda madiwani, wabunge wao.
 
Watatumia njia ya wapiga kura vituoni na kufanya maandamano
Ni kosa kufanya maandamano siku ya kupiga kura,ni ndoto na ni kuingilia haki ya kupiga kura ya mtanzania. watapata mkongoto wa kutosha
 
Kwenye wapiga kura milioni 30 ujaweka wazi wangapi ni wafuasi wa itikadi za kijani na ni wangapi wanafuata itikadi ya No reform No election.Hapa ndipo kuna hitimisho ukiweka facts zako sawa
Ni mtu mjinga pekee, au ambaye dishi halijakaa sawa, anayeweza kujiaminisha kuwa wapiga kura wote milioni 30 wataandamana. Kwa uhakika kabisa, watakaoandamana hawawezi kufika hata milioni moja!
 
  • Thanks
Reactions: IIS
Waambie kabisa,wasijeendelea na vilio vya kila siku eti tunaomba serikali ituangalie
ah ha ha ha.
 
Mpango wa Lissu ni kutaka kuingiza watu Barabarani kwa ajili ya kuvuruga Amani ili yeye aheshimike.

Joto la panda baada ya kuwa na muitikio mdogo katika Kampeni zao No Reform No Election.

Plan iliyopo ni kuudanganya umma kuwa No Reform No Election inakubalika kwa kupiga picha sehemu walipokusanyika watu wengi na kuacha sehemu zenye watu wachache.

Chama chapitia changamoto nyingi ikiwepo ukwasi wa fedha katika kuitangaza No Reform No Election licha ya kuwepo kwa kampeni ya TONE TONE.

Back
Top Bottom