PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mpango wa Lissu ni kutaka kuingiza watu Barabarani kwa ajili ya kuvuruga Amani ili yeye aheshimike.

Joto la panda baada ya kuwa na muitikio mdogo katika Kampeni zao No Reform No Election.

Plan iliyopo ni kuudanganya umma kuwa No Reform No Election inakubalika kwa kupiga picha sehemu walipokusanyika watu wengi na kuacha sehemu zenye watu wachache.

Chama chapitia changamoto nyingi ikiwepo ukwasi wa fedha katika kuitangaza No Reform No Election licha ya kuwepo kwa kampeni ya TONE TONE.
ccm ndo watakaoingiza watu barabarani kwakukata kufanya mabadiliko
 
Huyu akishaandamana akimbilie ubalozini hahaa

Jeshi La Wananchi Muwe tayari kuta shingo ya hilo Gaidi.


Wewe ni aheri usingelizaliwa, kwani huna faida yoyote kwa yeyote. Mahali pekee ambapo una faida, ni kwa shetani.

Tunamwomba Mungu azidi kuwajalia neema wale wanaopigania haki, wanaotaka nchi yetu iwe ya haki, kwa sababu Mungu wetu, ni Mungu wa haki.
 
Uwezo wa kuvuka Tanzania hamna maana mtanyongwa kimya kimya kama mkinda wa buguruni watu wametulia na Amani yao alafu muivuruge?
Hahahaa hata Tshisekedi alikuwa akisema hivyohivyo kwamba M23 ni Magaidi na atawamaliza kilichotokea sote tunakijua.
 
1. Hivi sasa kwa wastani askari polisi mmoja anahudumia wananchi 1500.
2. Idadi ya polisi kwa wastani ni 40,000
3. Wapiga kura kwa wastani wapo 30,000,000.
4. Vituo vya kupigia kura kwa wastani wa vituo 80,000.
5. Kwa maana hiyo kila kituo kwa wastani kitakuwa na wapiga kura kati ya 200 - 375.
6. Angalau kila kituo kitakuwa na polisi 2.

Uchaguzi ni wa nchi mzima, na maandamano ni ya nchi nzima, kama yakifanyika hakuna polisi wa mkoa huu kupelekwa mkoa mwingine kusaidia kama tulivyozoea kuona yakiitishwa maandamano Dar polisi wa mikoa ya jirani (Pwani, Morogoro, Dodoma hata Kilimanjaro na Arusha) kusombwa usiku kwenda Dar kusaidia.

Siku hiyo itakuwa ya kipekee, joto la uchaguzi litakuwa juu wasiwasi utakuwa mwingi, mihemko ya vijana utakuwa juu na fujo, vurugu zitakuwa nyingi kila sehemu nchi nzima, kwa idadi ya polisi tulionao hawawezi kuzuia fujo zikitokea.

Kwa takwimu hizi, tusidharau Chadema wanaposema watazuia uchaguzi siku ya uchaguzi.
I CAN ASSURE YOU, HAKUNA ATAKAYESONGA MBELE RISASI KUMI ZIKIPIGWA HEWANI, KWA UOGA TULIO NAO WATANZANIA INCLUDING ME AND YOU
 
Wewe ni aheri usingelizaliwa, kwani huna faida yoyote kwa yeyote. Mahali pekee ambapo una faida, ni kwa shetani.

Tunamwomba Mungu azidi kuwajalia neema wale wanaopigania haki, wanaotaka nchi yetu iwe ya haki, kwa sababu Mungu wetu, ni Mungu wa haki.
Mpumbavu wewe

Wewe mwenyewe faida kwa Mungu utaishi milele?

Upinde mna shida sana
 
pesa ya pasaka naona umeshindwa kumaliza chooni ukaona uje na ndugu zako mods kuleta mada
 
Back
Top Bottom