PreGE2025 Lissu: Uchaguzi hautafanyika wananchi mkakubaliana na msimamo wetu mkaandamana siku ya uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mpango wa Lissu ni kutaka kuingiza watu Barabarani kwa ajili ya kuvuruga Amani ili yeye aheshimike.

Joto la panda baada ya kuwa na muitikio mdogo katika Kampeni zao No Reform No Election.

Plan iliyopo ni kuudanganya umma kuwa No Reform No Election inakubalika kwa kupiga picha sehemu walipokusanyika watu wengi na kuacha sehemu zenye watu wachache.

Chama chapitia changamoto nyingi ikiwepo ukwasi wa fedha katika kuitangaza No Reform No Election licha ya kuwepo kwa kampeni ya TONE TONE.
Wanajiita wabangaizaji ili wanachi wawachangie
 
Mimi ninavyomuamini LISSU hata akisema imeshindikana kupata HAKI zetu kwa njia ya AMANI tuzitafute kwa njia ya NGUVU basi namfuata Msituni 🫡 Lissu tuko na wewe.
 
Mpango wa Lissu ni kutaka kuingiza watu Barabarani kwa ajili ya kuvuruga Amani ili yeye aheshimike.

Joto la panda baada ya kuwa na muitikio mdogo katika Kampeni zao No Reform No Election.

Plan iliyopo ni kuudanganya umma kuwa No Reform No Election inakubalika kwa kupiga picha sehemu walipokusanyika watu wengi na kuacha sehemu zenye watu wachache.

Chama chapitia changamoto nyingi ikiwepo ukwasi wa fedha katika kuitangaza No Reform No Election licha ya kuwepo kwa kampeni ya TONE TONE.
Akili ni nywele
 
Yes no REFORM no ELECTION.Bila akina Kibanga kukataa unyonge kwa mzungu,Kinjekile Ngwale kukataa utumwa,Mkwawa kukataa uonevu,Mangi Meli kukataa kunyanyaswa,Isike kukataa dhuluma Tanzania hii bado tungekuwa mikononi mwa Wazungu.
 
..
 
Attachments

  • images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    images - 2025-04-06T170815.462.jpeg
    49.9 KB · Views: 16
  • images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    images - 2025-03-30T151346.923.jpeg
    24.1 KB · Views: 16
  • images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    images - 2025-03-30T151155.234.jpeg
    18.7 KB · Views: 18
  • images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    images - 2025-03-30T152501.267.jpeg
    10 KB · Views: 21
  • downloadfile-15.jpg
    downloadfile-15.jpg
    135.1 KB · Views: 15
  • IMG-20250405-WA0011.jpg
    IMG-20250405-WA0011.jpg
    69.2 KB · Views: 15
Yes no REFORM no ELECTION.Bila akina Kibanga kukataa unyonge kwa mzungu,Kinjekile Ngwale kukataa utumwa,Mkwawa kukataa uonevu,Mangi Meli kukataa kunyanyaswa,Isike kukataa dhuluma Tanzania hii bado tungekuwa mikononi mwa Wazungu.
Naunga mkono hoja

Ndo maana ile timu ilimtaka FAM aendelee kutawala ili GE ya 2025 iwe kitonga kwao

Lissu mitano tena
 
Back
Top Bottom