Lissu: Watoto wangu wote ni raia wa Marekani

Bongo hakuna mpinzani wa kweli
Nilishasema mara nyingi, Lisu ni CIA project,, na sasa wanadai wameamua 2025 hakuna uchaguzi,, hii maana yake inaweza kuwa wanapanga kuanzisha machafuko,, time will tell
 


usimtukane aisee.ana hoja kwa kweli.TISS inatakiwa kuwa inachunguza maisha ya wagombea wetu kabla ya kupewa majukumu makubwa ya taifa .wato wako wote ni raia wa nchi nyengine.wawezaje kuwa rais wetu? usitoe mfano wa Trump au OBAMA. Watoto wao na wao wenyewe ni raia wa marekani.Sasa TL ni raia wa tanzania then watoto raia wa marekani.huoni kwamba watoto hawa ni usalama wa marekani wanaweza kudukua mambo yetu kwa kupewa siri na baba yao? tumia akili aisee.
 
I wish angekuwa kweli huo mpango wa CIA ili atusaidie kuiondoa ccm madarakani.

Baada ya hapo tutajua cha kufanya. Ila kwa sasa adui wetu namba moja kama Taifa, ni ccm! Na siyo Tundu Lissu, au hao CIA.
Mgombea urais wanawe Wana urai was nchi nyingine!!!..hawaamini Kama watashinda achilia mbali Shaka ya uzalendo wao
 
Sehemu kubwa ya viongozi wa CCM, watoto wao wana uraia wa nchi zingine.

Wewe jidanganye na familia yako kwamba uzalendo ni kuishi TZ tu. Hao wakata umeme wote wanaishi TZ.
 
Uzuri

Uzuri ni kwamba ghadafi kauawa na raia wake wenyewe, Tena kwa mikono yao wenyewe. Walipomkamata kwenye handaki kajificha. Walimpiga Kama mwizi.
Ghadaf hakujua kuhusu drones surveillance,, mda wote kumbe drone ya marekani, blackhawk ilikuwa imetulia juu ya makazi ya ghadaf na waliweza kumonitor movements zake zote bila yete kujua,
Mmarekani ndio aliwatip, waasi mahali ghadaf anaelekea, msafara wake ukashambuliwa na hadi anajificha kwenye karavati, wamarekani walikuwa wakimuona na wakawadirect wapinzani wake hadi alipokua kafichama
 
Sometimes hii nchi yetu inachosha sana Umeme,Maji,Wizi wa mali za umma bila uoga na aibu.......na mambo mengi meengii ya kijinga jinga
 
Mjinga mama yako aliyekuzaa
Unakomaa na Lissu ambaye watoto wake uraia wao ni kwasababu tu walizaliwa huko.

Rais Samia watoto wake uraia wao wa kuomba tena baada ya kuwa wakimbizi. Kama wewe sio mjinga sijui tukuite nani
 
Black hawk si attack helicopter ya marekani!!..kimsingi uingereza waliojifanya kumpa safe escape route ndiyo waliomuuza,na aliuawa na majasusi wa ufaransa, Gaddafi alitishia zaidi maslahi ya ufaransa kwa kutaka kuzifanya francophone countries kutopeleka gold reserve bank kuu ufaransa
 
Unakomaa na Lissu ambaye watoto wake uraia wao ni kwasababu tu walizaliwa huko.

Rais Samia watoto wake uraia wao wa kuomba tena baada ya kuwa wakimbizi. Kama wewe sio mjinga sijui tukuite nani
Mjinga mama yako aliyekaa mbuzi kagoma ukazaliwa
 
Aliyeongea na wakulima ni Dr Bashiru sio Lissu! Malizaneni na Dr Bashiru kwanza ....
 
Rubbish,nilicho andika Ni tofauti kabisa na unacho kijibu,uandika pumba nyingi ,upeo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…