MoseKing
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 4,928
- 8,976
Marekani haujaundwa kwaajili ya MINORITIES hasa hasa mtu Mweusi.Akili kichwani mzee.. Hii nchi walicho nacho wanatengezea mazingira mazuri sana kwa watoto wao na vizazi vyao.. Kesheshe ipo kwa wasio nacho makapuku.. Ubinafai umetalamaki, hadi inafikia viongozi wanatoa matamko ya ajabu tusio na ajira tukachekiwe mirembe, mala tupo wazembe mala tujiajiri.. Ila tu kwakuwa wao wameshiba.. Jobless kama mzabzab atatoka hapo 😅😅
Saaana utaishi Kama Mbweha mpaka ukome.