Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Nimesoma comment yako kwa tone ya mwendazake 🤓🤓🤓🤓🤓🤓Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa😅😅.
Badala ya kupigania serikali iachee kuiba na kuleta maendeleo ,yupo busy kumuwaza marehemuu..
Shenzi kabsView attachment 2968569
Mkuu umeneena ukweli, uchunguzi uanze kwanza wa hao watanzania uliowataja hapo juu, ndio ufuate uchunguzi wa kifo cha Mwendazake.Iundwe kamati huru kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na Azory Gwanda .
Kifo cha Leopold Lwajabe.
Shambulio la Tundu Lissu Dodoma.
Kutekwa kwa Roma Mkatoliki na Mohamed Dewji.
Sababu za kuvamiwa Clouds Media Group studio.
Hapa itakuwa tumeutendea haki umma wa watanzania na familia za hao watu.
Mkuu swala ni kutoweza au ni katiba kutofatwa baada ya kifo cha Mwendazake???Mtu alikuwa anatumia mashine ya moyo, bado akaji expose kwenye Corona. Unashangaaje kukata?
Kuhusu watu waliotaka kupindua meza labda wachunguzwe wajulikane kwa ajili ya kupongezwa maana kwa kweli waliona mbali..Samia hawezi
Mkuu uko sahihi ila haki ianze na waliuawa kabla yake na yeye au utawala wake!Naunga Mkono hoja.
Watanzania huu ni wakati muafaka ya Kutafuta majibu.
Ukisoma nyuzi nyingi hapa kabla na baada ya Kifo chake, utagundua wapo watu ambao kwa lugha walizozitumia na wanazotumia, ni kwamba Raisi Wetu Aliuwawa??
🔥🔥🔥Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba. Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
Mkuu hakuna sababu yoyote kikatiba inayoruhusu mtanzania yeyote awe Rais au raia kuua mtanzania mwingine.Sio ndio ina maana Uchunguzi Ufanyike. Wewe hutaki kujua kwanini Lissu alirindimwa na Risasi? Hutaki kujua labda kawa sababu kama hiyo labda wakatumiwa na mahasimu wa Taifa hili kumfikia Raisi?
Mkuu usipindishe mambo kwa kudhani watu wamesahau, sababu kubwa ya Tundu Lisu kupigwa Risasi ni kutokana na msimamo wake dhidi ya dhuluma na uongo wa Magufuli kuhusu kodi ya kampuni ya madini ya Acacia.Unaogopa nini kitafichuliwa? Hutaki kujua Kwanini Tundu Lissu alipigwa Risasi? Je, kupigwa kwa Tundu Lissu Risasi kulikuwa na njama za kujibu shambulizi?
Mkuu uchunguzi ufanyike kwa wote waliouwa mikononi mwake na juu ya kifo chake mwenyewe.Aisee hii wakiweza kuunda tume hakika taifa litapona. Yule anayejifanya lishe mara moyo anajifanya watanzania ili wasahau wakati ndiye master mind. Ila iko siku Dkt Magufuli atatendewa haki.
Mkuu kama una uhakika yeye kuwaua wenzie ilikuwa ni serikali inahusika, basi naye kwa kuwa alikuwa ni mtanzania pia naye kuuwawa vile vile serikali ilihusika! Ngoma droo!!Kwa hio unakiri aliuwawa, ndio hicho watanzania wanataka kujua nani muhusika, hao aliowaua yeye, serikali ndio muhusika, je yeye?
Mkuu muosha huoshwa! Imeenda hiyo! Watu wapo masaa ya mbele!Dah umenikumbusha hiyo thread, yaani imeanika uhusika wa current ceo na born town yaani hawa watu ni wauji na kibaya kabisa damu ya Dkt Magufuli inawasumbua hawakai kimya lazima wakiongea tu wanajikuta wameropoka viashiria kuwa wao ndiyo walimuua ili wafanya ufisadi etc
Mkuu hilo halitotokea tena, every area of interest is neutralized and under serious surveillance and monitoring.Nimewahi kuandika humu na na ninaandika tena, kwa sababu kuna makundi mawili hasimu hayakukubaliana kuhusu mustakabali wa Tanzania baada ya Kifo cha Magufuli na kuvunja utaratibu wa kikatiba, licha ya Samia kuwa next in power succession, kwa sababu ya mapungufu ya kiufundi kwenye hichi kifo, Samia anaweza kuhesabika alifanya uasi, kama watu wakiamua kushikilia bango.
Samia na wafuasi wake wanaweza kuja kupewa kesi kubwa ya Uhaini, Majaliwa kuendelea kuwa Waziri mkuu kwa kujua au kutokujua inampa Samia aina fulani ya Kinga na kumuweka Majaliwa Mateka (Waziri mkuu asiye na nguvu, ila anazuia reaction ya kisiasa na kiutawala).
Hili Jambo watu wenye akili nchini walisuruhishe kabla halijawa armed conflits
Mkuu naona sasa unaona umuhimu wa kufanya uchunguzi kwa watanzania wote kama ifuatavyo; kwanza waliokufa mikononi mwa Magufuli na utawala wake!Hiyo ni sawa na kusema, hao mnaowatumia kama ndio kihalalisho cha kifo chake, mfano kina Ben saananee, Tundu Lissu Mdude n.k Kama ilishatokea, ishatokea. Mjadala ufungwe?
Watu wakisema 'kwani Akwilina hakutakiwa kufa' 'Kakufa tu' shida ipo wapi? Ama Tundu Lissu alikipata alichokuwa anakitafuta, shida ipo wapi? Au Ben saanane-Si walijitakia??
Unaona ukinzania wa hoja yako?
🤣 🤣 🤣Luhaga si ndio wewe uliye Pima samaki na rula kwa kukosa ubunifu.
Ongea upuuzi wako kipindi hicho maana bungeni hurudi Tena hata uroge ukiwa uchi mchana.
Jaribu kuushughulisha ubongo wako kidogo mkuu. Unakumbuka Mpina alichangia nini kwenye sakata la DP WORLD?..Mbunge km huyu Kuna wananchi nao walipanga foleni kwenda kumpigia kura penginepo jua likiwachomaa[emoji28][emoji28].
Badala ya kupigania serikali iachee kuiba na kuleta maendeleo ,yupo busy kumuwaza marehemuu..
Shenzi kabsView attachment 2968569
Ndiyo mlicho kiteta na kukubaliana na Sirro, Pengo na Bashite?Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.
Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
🤣 🤣 🤣Ndiyo mlicho kiteta na kukubaliana na Sirro, Pengo na Bashite?
Kuna utata gani?Kuna utata gani kwenye kifo Cha magu!?