Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Hili swala nilishawahi sema ipo siku itakuja kufanyika uchunguzi. Kidaktari kifo cha Rais Magufuli hakikuwa cha kawaida. Kifo cha Rais Magufuli kilikuwa na hujuma.

Naunga mkono hoja ya Luhaga Mpina. Tusipofanya leo itakuwa ni kawaida kufanya assassination kwa Marais wetu. Na hii itapelekea kuyumba kwa Taifa. Kifo cha Rais Magufuli dots za kidaktari zinagoma kabisa kabisa kuwa alikufa kifo cha ugonjwa wa Moyo.

Kifo cha Rais Magufuli Clinical analysis inagoma kabisa kama kweli alikufa kwa corona.

Ukitaka ujue kifo cha Rais kulikuwa na hujuma angalia walikufa watu wote waliokuwa Ikulu. Wote aliowaamini, waliomzunguka. Kama ni corona inawezaje iue watu wa eneo moja tu tena kwa kufuatana. Afu watu ambao walikuwa hawakutani na watu wengi to that extent. Watu wa mtaani huku tulikuwa tunakaa hovyo hatuna Any precautions Lakini hatukufa. Sayansi inagoma kabisa kuwa Magufuli alikufa kifo cha kawaida.

Naunga mkono hoja ili tujenge misingi imara ya ulinzi wa Marais wetu. Hata kama siyo leo hata kesho au awamu yeyote nashauri wafanye uchunguzi wa kina. Magufuli for me with my own reasoning hakufa kifo cha kawaida
Mimi kwangu ilikuwa sherehe,kaua wengi sana
 
Yaani kama kuna mkono wa mtu ulihusika basi muhusika ajengewe mnara. Kokote kule alipo Jiwe afe tena
Kwa watu wako hao waliosema wazuri hawafi hawatakufa??? Bora siye tumezoa wakwetu hayupo ila sasa nyie si unaona mmeondokewa na mbobezi mkaanza kulia hahahaha na hapo kifo kilikuwa cha ka inzi je siku ng’ombe akidondoka sijui mtasemaje au tembo a hahahah, kikubwa mlifanya kazi yenu ya kuua vizuri ila kwa sababu Damu ya Dkt Magufuli ni innocent ndiyo maana mlishashindwa kujizuia kujionesha nyie mlihusika kumuua mpendwa wa watanzania, mpakwa mafutwa wa Bwana Mungu aliye hai, sasa mmbeki kujistukia. Mtu pekee angeweza kuwa kimya ni Dkt Kikwete ila sasa tunasema kuhifadhi vitu sirini na watoto kila mara wanataka waoneshe eti wana vitu
 
Kwamba Jiwe alikuwa innocent 😂😂😂😂 hata Sukuma gang wenzako watakucheka,jaribu kuwa serious basi
 
Mpina kaka, tafuta kazi ya kufanya. Mwaka 2025 hatutaki watu wanaopiga mayowe mengi kama nyie. Kwa heri ya kuonana.​
 
Kwamba Jiwe alikuwa innocent 😂😂😂😂 hata Sukuma gang wenzako watakucheka,jaribu kuwa serious basi
Anaitwa mtakatifu Dkt John Joseph Pombe Magufuli. Alikuwa mtu wa watu, mnyenyekevu, na mwenye hekima na uzalendo kwa taifa lake na wananchi wa Tanzania
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”

Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.

Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”

Tume zote zilioundwa nchi hii hazina majibu!
 
Nenda Mwanza utakuta mbunge siyo msukuma utakuta diwani mchaga ila nenda uchagani uone kama wewe chasaka utatambuliwa zaidi ya kukutafuta wakuue. Wasukuma hawana ukabila kabisa ila ni ujinga weny mliopandikizwa na msoga na akina lema na mafisadi, yaani mlitafuta jina baya kwa wasukuma ili waonekane wanaukabila, na hii itatumika kama ticket ya kushawishi wasukuma wapige kura kwa mtu anayewakubali wasukuma ila nyie timu msoga msipoangalia wasukuma watawakosesha ikulu.
Mwanza ni ya Wasukuma?
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”

Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.

Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”

Wachawi wameanza kushikana uchawi.
Ama kweli nimeamini kwamba "Umoja wa Wachawi Haudumu."
 
Sawa kabisa, maana huyo Luhaga anataka kutuaminisha Magufuli alikuwa mtu msafi, hivyo kifo chake pekee ndio Cha kuundiwa kamati. Ikiundwa kamati kuchunguza vifo vyote vyote wakati wa Magufuli, Nina hakika Kinga dhidi ya Marais itaondolewa kwenye katiba.
Huyo ni Rais.
 
Mwenzake kingwangala ameanza kusifia anajua 2025 anaweza asirudi, sasa yeye anajua fika harudi ndio maana anaamua kuvuruga zaidi
 
Suala siyo kusifia, Dkt Samia kama Rais kazi nzuri kafanya tena kajitahidi sana. Sema kinachokera ni kukosa ufuatiliaji etc
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”

Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.

Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”

Magufuli aliuliwa na mazCcm zyenyewe. Wasitupotezee muda kutafuta mchawi.
 
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”

Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.

Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”

Kabla ya kuunda tume watakuwa wamemuua
 
Back
Top Bottom