Kwa hiyo Kwanini alisema Kuna watu wanawaza 2025 kwenye Baraza Lake La Mawaziri? Yaani Lengo la kufanya Mabidiriko Ya Baraza ni Yapi? Kama Sio Kutumie Kodi Zetu Vibayaaa

Mnakopa Ili mje mbadiri Baraza La mawaziri?
 
Tayari kawapiga chini kisayansi au kiungwana.
 

Unampiga mtoto halafu unampa pipi anyamaze…

😄 daah siasa bwana
 
Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag

Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa

Nawasilisha
 
Zabayanga Aendelee Na Mazingira Mpaka Yawe Safi
Ahakikishe Miti Inapandwa Sana,
 
Kwahiyo lengo ni kujustify kuwaondoa watu makini wenye uwezo na kupachika vigoigoi uchwara kama kina Nape. Au sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…