Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mama kwanini asiwe na roho ya chuma?...huyo lukuvi ni miongoni mwa sukuma gang
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata hao waliotupwa ndani ya gauni la mama nao walikuwa na ndoto.Kwa hiyo Kitila, Mwambe na Waitara ndio wasaliti kuelekea 2025?
Nadhani kwa Lukuvi alichemka kumtoa,
Mungu hawezi tangulia mtu aliedhulumu mali za watu mchana kweupe hata siku moja tusijidanganye wengi wameuzwa na Lukuvi basi wanaogopa tu kusema kwa sababu wanamwogopa lakini laana ya aliowadhulumu kuna siku itajibuLukuvi na Palamagamba muwe makini.... Mungu awatangulie.
Close monitoring is the best way to deal with a threat.
====
Sir Blair ameamishiwa kitengo gani?
Kokote kule unachunguzwa
Oooh kumbe...Hatuzungimzii mm tunazungumzia wasaka Urais
"Kaka yangu Lukuvi, yeye ana kazi na mimi, mtaisikia baadaye. Lakini namvuta Ikulu, kazi yetu ni kuwasimamia nyinyi."- Rais Samia Suluhu Hassan https://t.co/4M4G3wiwg0
Washauri wa raisNdo vyeo gani hivyo?
Kuna wabunge wa viti maalumuVipi jukumu la kuwawakilisha wananchi
Salaam Wakuu,
Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri...
...baada ya kelele ameona ajikoshe
Zabayanga Yupo Baridi MnoWameshindwa kazi zao na hawaaminiki imebidi waletewe back up.
Niliona juzi anazindua micheZabayanga Yupo Baridi Mno