Kumwabudu binadamu ili uende chooni!😁😁😁Nimechagua kuwa mpiganaji💪💪💪
Your browser is not able to display this video.
 
Naona kama kajishtukia katoa boko bora angekaa kimya tu.

Kwangu mimi Kabudi, Lukuvi na Kimei kukosa uwaziri ni pigo kwa taifa na sizani kama watatumika kama alivyosema.
 
Ninawaza na kubaki mdomo wazi,Kwanin wazee kama akina Lukuvi na Kabudi wamepewa ofisi ikulu ya kumsaidia mama, huku wakiwasimamia wateule wake!

Hapa napata wasiwasi wa mwingiliano wa majukumu na Katibu mkuu kiongozi.

Wakongwe kama akina Paschal Mayala naomba utujuze.
 
Wala usihofu Mzee wa kurejesha Kwa jamii atakupa mwanga kwani zaidi ya kuwa mwandishi, na mzalendo wa taifa hili ni mwandishi huru, japo Kwa dada anasema amestaafu lakini no Imani yangu kuwa Kwa Yale aliyoamua kurwjesha Kwa jamii no pamoja na kuipa jamii uelewa Kwa mambo yenye mjanganyoko kama hili la Kabudi na Lukuvi.
 
Halafu nini kazi ya baraza la mawaziri? Hapa kwa kweli naona uhuru wa Rais umezidi sana. Yaani anaamua tu kuanzisha ofisi hata haipo kikatiba ?
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kwahiyo wewe ndio wakuwabadilikia maboss wako leo, au nawe mwanakulitafuta, au umechoka kuwa mwimba mapambio kutokana na wimbi Kali la tsunami hapo kijani hivi sasa🌀.
 
Halafu nini kazi ya baraza la mawaziri? Hapa kwa kweli naona uhuru wa Rais umezidi sana. Yaani anaamua tu kuanzisha ofisi hata haipo kikatiba ?
MSilalame tulieni dawa iwaingie mliambiwa habari ya katiba mpya mkasema wanaoitaka ni wanasiasa, iweje Leo wananchi wanyonge muikumbuke katiba mpya kwa kelele na maumivu makubwa kiasi hiki, basi msikubali kudangawa na wala keki ya taifa, wanasiasa au unaweza kuwaita wana sii hasa, maana hawamaanishi wanacho tamka.Hasa walionogewa na mamlaka.
 
Close monitoring is the best way to deal with a threat.
====
Sir Blair ameamishiwa kitengo gani?
umemaliza kila kitu mkuu!! hawa watu wawili watu waliwachukulia poa ,lkn Samia anajua ushawishi wao ulivyo mkubwa!! hata hivyo kabudi na lukuvi ,msipozimwe kwa kuwekwa hapo ikulu,2025 tunawategemea ,Kama sio nyny basi mtuletee mtu sahihi !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…