Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hiyo Ndiyo Kazi Yake Kutembelea VitaluNiliona juzi anazindua miche
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo Ndiyo Kazi Yake Kutembelea VitaluNiliona juzi anazindua miche
Naona kama kajishtukia katoa boko bora angekaa kimya tu.Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag
Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa
Nawasilisha
Wala usihofu Mzee wa kurejesha Kwa jamii atakupa mwanga kwani zaidi ya kuwa mwandishi, na mzalendo wa taifa hili ni mwandishi huru, japo Kwa dada anasema amestaafu lakini no Imani yangu kuwa Kwa Yale aliyoamua kurwjesha Kwa jamii no pamoja na kuipa jamii uelewa Kwa mambo yenye mjanganyoko kama hili la Kabudi na Lukuvi.Ninawaza na kubaki mdomo wazi,Kwanin wazee kama akina Lukuvi na Kabudi wamepewa ofisi ikulu ya kumsaidia mama,huku wakiwasimamia wateule wake!Hapa napata wasiwasi wa mwingiliano wa majukumu na Katibu mkuu kiongozi.Wakongwe kama akina Paschal Mayala naomba utujuze.
Kwahiyo umesha nywea chai, au unatupiga sound🤔.Niliandika kuwa Baraza la sasa ni biskuti kuna limtu likanitukana,Sasa kwa haya lijifikirie kwanini inakuwa hivi...??!
Halafu nini kazi ya baraza la mawaziri? Hapa kwa kweli naona uhuru wa Rais umezidi sana. Yaani anaamua tu kuanzisha ofisi hata haipo kikatiba ?Ninawaza na kubaki mdomo wazi,Kwanin wazee kama akina Lukuvi na Kabudi wamepewa ofisi ikulu ya kumsaidia mama, huku wakiwasimamia wateule wake!
Hapa napata wasiwasi wa mwingiliano wa majukumu na Katibu mkuu kiongozi.
Wakongwe kama akina Paschal Mayala naomba utujuze.
Silagi biskuti mimi kuharibu meno tupuKwahiyo umesha nywea chai, au unatupiga sound🤔.
Kwahiyo wewe ndio wakuwabadilikia maboss wako leo, au nawe mwanakulitafuta, au umechoka kuwa mwimba mapambio kutokana na wimbi Kali la tsunami hapo kijani hivi sasa🌀.Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kivipi🤔.Rais ameamua kudhalilisha watu
MSilalame tulieni dawa iwaingie mliambiwa habari ya katiba mpya mkasema wanaoitaka ni wanasiasa, iweje Leo wananchi wanyonge muikumbuke katiba mpya kwa kelele na maumivu makubwa kiasi hiki, basi msikubali kudangawa na wala keki ya taifa, wanasiasa au unaweza kuwaita wana sii hasa, maana hawamaanishi wanacho tamka.Hasa walionogewa na mamlaka.Halafu nini kazi ya baraza la mawaziri? Hapa kwa kweli naona uhuru wa Rais umezidi sana. Yaani anaamua tu kuanzisha ofisi hata haipo kikatiba ?
Eti bado kuna wapuuzi wanawalilia,wengi wao ni njaa kaliMtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
umemaliza kila kitu mkuu!! hawa watu wawili watu waliwachukulia poa ,lkn Samia anajua ushawishi wao ulivyo mkubwa!! hata hivyo kabudi na lukuvi ,msipozimwe kwa kuwekwa hapo ikulu,2025 tunawategemea ,Kama sio nyny basi mtuletee mtu sahihi !!Close monitoring is the best way to deal with a threat.
====
Sir Blair ameamishiwa kitengo gani?