James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
You are absolutely right!Ni jambo zuri sana kama kukiundwa hiyo kamati ya kuhakiki mikataba ya serikali. Ila ninachoraka tu Mh Kabudi aachiwe afanye kazi yake kwa uhuru.
Huyu bwana kazi hii inamfaa sana kwasababu hana sifa za kifisadi.
Wewe cheza kamari sport pesa utapata pesa nzuri, mambo ya siasa waachie wana siasa!Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria lakini sidhani kama inamzuia rais kuunda kamati maalum na kumfanya Kabudi kuwa mwenyekitiCheo chake kikatiba kiko Ibara ya ngapi ?
... hiyo ni duplication ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali (OAG).Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria lakini sidhani kama inamzuia rais kuunda kamati maalum na kumfanya Kabudi kuwa mwenyekiti
Chama Cha Mafisadi a.k.a Mafisi lazima wamnyime Uhuru na wamuingilie Sana kwenye utendaji wake asije akawaumbuaNi jambo zuri sana kama kukiundwa hiyo kamati ya kuhakiki mikataba ya serikali. Ila ninachoraka tu Mh Kabudi aachiwe afanye kazi yake kwa uhuru.
Huyu bwana kazi hii inamfaa sana kwasababu hana sifa za kifisadi.
Wakati anateuliwa kusimamia mikataba ya madini na JPM ilikuwemo kwenye katiba? CDM bwana, kupinga kila kitu hata kiwe kizuri! Ndiyo maana Mushumbuzi kawachana kwamba chama chenu kimekosa dira mmebaki kudandia dandia mambo ya CCM tuCheo chake kikatiba kiko Ibara ya ngapi ?
Sasa,hivyo viberiti ni kwa ajili ya kuvutia goso au kukokea moto wa kuota usiku wakati wa kupigiana hadithi?Maana Ismani ni joto kali!Hata ubunge wake anashinda kwa rushwa ya Ulanzi na viberiti
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Baada ya Samia kuwapa za uso kuhusu njama zenu za kuwachafua. ndio mnaumbuka sasa!Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kuna wakati muwe mnawaheshimu watu kwa utu wao au hata kwa umri.Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Bro najua tuna mrengo mmoja kisiasa lakini katika hili sikuungi mkono hasa kwa Lukuvi.Hata ubunge wake anashinda kwa rushwa ya Ulanzi na viberiti
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Ndugu ulishawahi kufika jimbo la Ismani hasa kipindi cha uchaguzi?Bro najua tuna mrengo mmoja kisiasa lakini katika hili sikuungi mkono hasa kwa Lukuvi.
Lukuvi ni mtendaji bora kabisa hahitaji kuhonga mtu.
Utendaji wake kazi umetukuka sana na ameacha alama katika nafasi yake ya uwaziri.
Waheshimuni watu kwa kazi zao na tuache blabla kwani Watanzania tunafahamiana tulivyo.
Una maanisha makarani?? Au mapokezi??😅😅Wamefanywa kuwa desk officers, huyu mama kweli anatuvurugia nchi yetu. Yaani kweli Nape, Makamba, na Ridhiwani anawaona wa maana?
Uwezo wako wa kudadavua mambo ni mdogo. Suala la msingi siyo kuondolewa kwenye uwaziri, bali ni sababu za kuondolewa kwenye uwaziri.Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?