Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali
Ni jambo zuri sana kama kukiundwa hiyo kamati ya kuhakiki mikataba ya serikali. Ila ninachoraka tu Mh Kabudi aachiwe afanye kazi yake kwa uhuru.

Huyu bwana kazi hii inamfaa sana kwasababu hana sifa za kifisadi.
 
You are absolutely right!
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Wewe cheza kamari sport pesa utapata pesa nzuri, mambo ya siasa waachie wana siasa!
 
Mimi sio mtaalamu wa mambo ya sheria lakini sidhani kama inamzuia rais kuunda kamati maalum na kumfanya Kabudi kuwa mwenyekiti
... hiyo ni duplication ya ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali (OAG).
  • Kupitia mikataba na kuishauri serikali accordingly ni miongoni mwa majukumu ya msingi ya OAG tena ni jukumu namba moja (i. Kuishauri Serikali katika masuala ya Mikataba na uandishi wa sheria) - OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI;
  • ni miongoni mwa ofisi chache ambazo uwepo wake ni wa kikatiba; Rais hawezi kuibuka kesho akaifuta hii ofisi kama ambavyo hawezi kwa CAG na nyinginezo baadhi.
Je, OAG wameshindwa kazi? Wajipime kama wanatosha au kama majukumu yao yanaingiliwa (which is not good).
 
Tutaongea baadae kuhusu Bw.Kabudi.Kwa sasa tumuombee Mh.Rais afya na ujasiri wa juu atuvushe hapa tulipo.
(Siku ya 40 tangu mwaka mpya wa 2020 uanze)...stay tunned.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Prof. Kabudi kapigwa changa la macho. Naamini Rais kawalaghai hawa wazee. Soob watajikuta hawapelekewi mafaili wala kuitwa ikulu kwenye vikao rasmi. Watajua laghai ya wajanja.

Ushauri wa bure, wakakae bungeni kama wabunge wengine wasiokuwa na wizara. Wakajikite kwenye kuichambua serikali kwa kuisimamia, kuikosoa na kutunga sheria zenye faida kwa nchi.
 
Ni jambo zuri sana kama kukiundwa hiyo kamati ya kuhakiki mikataba ya serikali. Ila ninachoraka tu Mh Kabudi aachiwe afanye kazi yake kwa uhuru.

Huyu bwana kazi hii inamfaa sana kwasababu hana sifa za kifisadi.
Chama Cha Mafisadi a.k.a Mafisi lazima wamnyime Uhuru na wamuingilie Sana kwenye utendaji wake asije akawaumbua
 
Cheo chake kikatiba kiko Ibara ya ngapi ?
Wakati anateuliwa kusimamia mikataba ya madini na JPM ilikuwemo kwenye katiba? CDM bwana, kupinga kila kitu hata kiwe kizuri! Ndiyo maana Mushumbuzi kawachana kwamba chama chenu kimekosa dira mmebaki kudandia dandia mambo ya CCM tu
 
Jamii forum sasa hivi imejaa makanjanja ambao kichwani hamna kitu.Unaelewa hata kuwa kwa mujibu wa sheria zetu Kabudi anapaswa astaafu?

Kabudi ana miaka 65. Mkuchika ana miaka 73 ya kuzaliwa.

Katika utumishi wa umma hawa wanapaswa kupumzishwa kwa mujibu wa sheria ya Utumishi wa Umma, Sura ya 298 (The Public Service Act).

Kuwapa hawa watu vyeo visivyokuwa katika muundo rasmi wa utumishi ni kitu haramu na ambacho ni kinyume na sheria zetu.
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Baada ya Samia kuwapa za uso kuhusu njama zenu za kuwachafua. ndio mnaumbuka sasa!
Shame on you!

Mbowe mwenyekiti na mbunge miaka mingapi?

Acheni wivu wa ki house girl!
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kuna wakati muwe mnawaheshimu watu kwa utu wao au hata kwa umri.
Lukuvi hajawahi kulilia uwaziri bali huteuliwa.
Waulizeni wateuzi na sio wateuliwa.
Kabudi ameokotwa kule wala hakuomba hiyo kazi.
 
Hata ubunge wake anashinda kwa rushwa ya Ulanzi na viberiti

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Bro najua tuna mrengo mmoja kisiasa lakini katika hili sikuungi mkono hasa kwa Lukuvi.

Lukuvi ni mtendaji bora kabisa hahitaji kuhonga mtu.
Utendaji wake kazi umetukuka sana na ameacha alama katika nafasi yake ya uwaziri.
Waheshimuni watu kwa kazi zao na tuache blabla kwani Watanzania tunafahamiana tulivyo.
 
Ndugu ulishawahi kufika jimbo la Ismani hasa kipindi cha uchaguzi?
Wewe muone vile tu Lukuvi lakini katika jimbo lake hakubaliki kabisa na ubunge wake amekuwa akipata kiujanja ujanja mnoo.
 
Wamefanywa kuwa desk officers, huyu mama kweli anatuvurugia nchi yetu. Yaani kweli Nape, Makamba, na Ridhiwani anawaona wa maana?
Una maanisha makarani?? Au mapokezi??😅😅
Nimefikiria wadada wa halmashauri, nikawafananisha na hawa wazee😅😆
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Uwezo wako wa kudadavua mambo ni mdogo. Suala la msingi siyo kuondolewa kwenye uwaziri, bali ni sababu za kuondolewa kwenye uwaziri.
Tuliambiwa watakaotemwa watakuwa wanapewa nafasi ya kijistress zaidi kwa ajili ya 2025; swali ni, je Kabudi na Lukuvi wanajiandaa kuchukua fomu 2025?
Umri siyo issue hapa; laiti umri ungekuwa issue basi wa kwanza kupigwa chini angekuwa wa poti wangu Mkuchika.
 
Back
Top Bottom