Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali
SmartSelect_20220110-214816_Chrome.jpg
Tuseme ukweli.

Hii picha inaonyesha watu waliotwezwa au waliokwezwa?

Hawa wamepumzishwa. Wameambiwa muda wenu umekwisha.
 
Kabudi ni profesa, analilia ajira ya Rais awe Waziri
Ulimuona alivyokua anainama inama pale...anaidhalilisha sana udsm..sjui wanafunz wake wanajiskiaje..maana alikua mkuu wa idara pale kipind flan
 
Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag

Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa

Nawasilisha
Bro soma katiba,kazi za hao viongozi uliowataja zimeandikwa vizuri sana

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Raisi Joe Biden wa Marekani ambae huanguka mara kwa mara na bado kashikilia kiti wamzungumziaje?

Na hata hivyo raisi wetu wa sasa yumo kwenye siasa kwa miongo mingi pia tangu akiwa kule CC ya CCM na Magufuli kamkuta Samia tiyari yumo chunguni.

Sasa mbona kama wawaonea Lukuvi na Kabudi?
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake na vitega uchumi vyake vilivyotapakaa kila mahali
 
Leo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag

Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa

Nawasilisha
Hiyo inaitwa kachumbari mixer veve.. Hao wanaenda kuwa chawa
 
Hawa watu wanatudharau sana mtu kama Nchimbi awezi kuwa speaker.

Hili uwe speaker lazima uwe mmbunge kwanza ata akili hawana; sasa huyo anaewapa form watu kama Nchimbi na Masele sijui anatumia sheria gani...
Nani alikwambia ili(sio hili) uwe spika ni lazima uwe mbunge?Unapokuwa hujui jijulishe kwanza Ili uweze kujadili logic...
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Yaani uache uwaziri ukalime?
Mzee akajiajiri?? Acha masihara ndugu!!
Uache mshahara mkuubwa, mV8 wamaana,jumba labure,ofisi yakisasa fulu kiyoyozi,unaagiza tuu wewe mguu juu,kutetemekewa na kuwapanafasi nduguzo,marupurupu tele,ulinzi wabure nk. nk.
Waache wazee wang'ang'ane maisha magumu haya jamaa
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?.
Umeandika kiroho mbaya na husuda, heading umetaja watu wawili na article haieleweki although Lukuvi ni wa kitambo ila Kabudi alikuwa jalalani in 6yrs ago.
 
Utakuja kupelekwa guest house na mwanaume mwenzako kwa tamaa ukiendekeza njaa mjini.

Ofisi ya mwanasheria mkuu ipo chini ya wizara ya katiba na sheria na wanakitengo maalum cha kuangalia mikataba nchi inayoingia na boss wao alikuwa Kabudi...
Nani alikwambia mwanasheria mkuu wa serikali yupo chini ya wizara ya katiba na sheria?
 
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?

Sukuma gang watinga ikulu kwa kishindo!
 
Kwa mtizamo wako, hujashikiwa bastola kukubali, bali kwangu kwa potential zao wapo vizuri.
Kimei alifanya vizuri crdb ila alipoingia bungeni sasa aluanza tema mashudu sijui utaalam wake aliuacha nje.
 
Mashudu wapi, mtu kaijenga CRDB kuanzia ipo changa mpaka sasa imesimama, mnapenda wabunge wanaopiga kelele na kubwajabwaja.

Mimi natamani sana watu type za Kimei na Kabudi ambao wana CV na experience kubwa kwenye maeneo yao ya kitaaluma, ndio wapewe hizi wizara ili wasaidie taifa kupitia experience zao.

Bahati mbaya kwe siasa zetu si upinzani wala chama tawala ,wamejaa wazushi kibao.
 
Nimekubali kuwa kaijenga crdb hilo halina shaka, ila alipoingia bungeni utaalam wake katika michango aliuacha nje.
Kabudi yote aliyokuwa anapibga na kufundisha alipopata nafasi serikalini akayatupilia mbali. Wasomi wanafiki nafiki tu hawana msimamo, hawana wanaloliamini ila matumbo yao tu.
Mtu pekee ambaye ningependa abaki kwenye wizara yake ni kukuvi.
 
Back
Top Bottom