ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,073
Danganya toto hiyo, hao washafukuzwa kazi kitambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulimuona alivyokua anainama inama pale...anaidhalilisha sana udsm..sjui wanafunz wake wanajiskiaje..maana alikua mkuu wa idara pale kipind flanKabudi ni profesa, analilia ajira ya Rais awe Waziri
Bro soma katiba,kazi za hao viongozi uliowataja zimeandikwa vizuri sanaLeo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag
Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa
Nawasilisha
Raisi Joe Biden wa Marekani ambae huanguka mara kwa mara na bado kashikilia kiti wamzungumziaje?Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Yupo kwa ajili ya kulinda maslahi yake na vitega uchumi vyake vilivyotapakaa kila mahaliMtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Hiyo inaitwa kachumbari mixer veve.. Hao wanaenda kuwa chawaLeo mh rais alipokuwa akiwaapisha mawaziri na viongozi wengne ikulu ya chamwino aliwasimamisha mzee lukuvi na prof kabudi akesema hao watu amewaacha kwenye cabinet kwa kazi maalum ya kumsaidia yeye huku nae akikiri kuwa kazi hyo haiko kwenye muundo sasa maswali yangu
Je uteuzi huo maalum nini kazi ya pm na vp je hawatoshi
Pili mh raisi anasema hao wawili kazi yao ni kuwasimamia mawaziri wote je watamsimamia hadi pm ki protocal nani mkubwa kati yao na pm na sheria inasemaje kuhusu mtu asiye wazir kuingia kwenye cabinet meeting
Tatu raisi kasema kabudi atasimamia negotiations ya mikataba yote je haitaleta mgongano wa kimaslahi na wazir wa sheria na Ag
Mwisho ni vema mh rais asingetaza uamuzi wake wa kuwatumia hao watu state house in public angewatumia kimya kimya sisi tukijua wametumbuliwa
Nawasilisha
Nani alikwambia ili(sio hili) uwe spika ni lazima uwe mbunge?Unapokuwa hujui jijulishe kwanza Ili uweze kujadili logic...Hawa watu wanatudharau sana mtu kama Nchimbi awezi kuwa speaker.
Hili uwe speaker lazima uwe mmbunge kwanza ata akili hawana; sasa huyo anaewapa form watu kama Nchimbi na Masele sijui anatumia sheria gani...
Yaani uache uwaziri ukalime?Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kimei? What a joke!Naona kama kajishtukia katoa boko bora angekaa kimya tu.
Kwangu mimi Kabudi, Lukuvi na Kimei kukosa uwaziri ni pigo kwa taifa na sizani kama watatumika kama alivyosema.
Umeandika kiroho mbaya na husuda, heading umetaja watu wawili na article haieleweki although Lukuvi ni wa kitambo ila Kabudi alikuwa jalalani in 6yrs ago.Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?.
Nani alikwambia mwanasheria mkuu wa serikali yupo chini ya wizara ya katiba na sheria?Utakuja kupelekwa guest house na mwanaume mwenzako kwa tamaa ukiendekeza njaa mjini.
Ofisi ya mwanasheria mkuu ipo chini ya wizara ya katiba na sheria na wanakitengo maalum cha kuangalia mikataba nchi inayoingia na boss wao alikuwa Kabudi...
Mtu kama lukuvi, Waziri zaidi ya miaka 20, bado analilia ajira, hivi huyu ana uwezo wa kuweka sera ya vijana kujiajiri kama yeye anasubiri ajira ya ubunge na uwaziri? Pensheni ya uwaziri kwa miaka zaidi ya 20 aliifanyia nini?
Kwa mtizamo wako, hujashikiwa bastola kukubali, bali kwangu kwa potential zao wapo vizuri.Kimei? What a joke!
Kimei alifanya vizuri crdb ila alipoingia bungeni sasa aluanza tema mashudu sijui utaalam wake aliuacha nje.Kwa mtizamo wako, hujashikiwa bastola kukubali, bali kwangu kwa potential zao wapo vizuri.
Mashudu wapi, mtu kaijenga CRDB kuanzia ipo changa mpaka sasa imesimama, mnapenda wabunge wanaopiga kelele na kubwajabwaja.Kimei alifanya vizuri crdb ila alipoingia bungeni sasa aluanza tema mashudu sijui utaalam wake aliuacha nje.
Nimekubali kuwa kaijenga crdb hilo halina shaka, ila alipoingia bungeni utaalam wake katika michango aliuacha nje.Mashudu wapi, mtu kaijenga CRDB kuanzia ipo changa mpaka sasa imesimama, mnapenda wabunge wanaopiga kelele na kubwajabwaja.
Mimi natamani sana watu type za Kimei na Kabudi ambao wana CV na experience kubwa kwenye maeneo yao ya kitaaluma, ndio wapewe hizi wizara ili wasaidie taifa kupitia experience zao.
Bahati mbaya kwe siasa zetu si upinzani wala chama tawala ,wamejaa wazushi kibao.
Watu tupo mill 60 kama wameshindwa awatafute wengine Ukweli Hataki Wagombea USPIKAWameshindwa kazi zao na hawaaminiki imebidi waletewe back up.