Na tuliopo tunasema wengine hawajafanya kitu, na kusema kuwa yaliyofanyika kwa miaka mitano ni makubwa kuliko ya viongozi wote waliopita.XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa
Nadhani Mkapa ndio tulitakiwa kumpigia chapuo aongezewe miaka ya kutuongoza.
Ndio maana Mzee alimaindi sana kauli ya kila zama na kitabu chake.Na tuliopo tunasema wengine hawajafanya kitu, na kusema kuwa yaliyofanyika kwa miaka mitano ni makubwa kuliko ya viongozi wote waliopita.
Ninazo ndiyo. Kibailojia nimeumbwa na hormones,na endocrine system yangu inafanya kazi kama kawaida.
Inaumiza ila analia unafiki tu sababu alimpa ugali, na ametoboa siri kuwa kumbe wanachaguana tu hii kitu lazima kiishime watanzania tujachague viongozi wetu.Magu kaongea kwa uchungu kweli hapa maneno yake yamenigusa, RIP Mkapa
Lissu for presidency 2020
Kama umefatilia convo ungeona tulikua tunazungumzia nini, hayo uliyoyaleta wewe ni nje ya mada kabisa,Niliona mmoja kachukua fomu...butiama.
Ila sio lazima bahna, mbona hujipigii chapuo ww na ndugu zako?
Wamebaki yatima maskini, kila mkubwa yupo busy kuendeleza kizazi chake kwa kuchomeka watoto wao, lakini wao wametupwa mbali sana.Kinachoniumiza hawa watawala wala hawawapi hata teuzi , yaan nabaki kushangaa tyuuh km sio kustaajabu.
Hii kitu inanifikirisha hata mimi,
Nyerere anaenziwa sana Tz, ndie baba wa taifa letu haina ubishi lakini mbona watoto wake wametengwa? Sijasikia Waziri Nyerere wala RC Nyerere, kuna nini nyuma ya pazia?
Wajuvi mtujuze.
Sasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.Kura za maoni wamekataliwa kwao Butiama… kura za Makongoro na Madaraka ukijumlisha hazifiki 7
Walevi wa kutupwa
Jk alijaribu kumsaidi Makongoro kwa kumpa Ujaji Mke wake… Mke alipopata tu Ujaji akampa Talaka
Uswahilini tunasema kwa utani… Nyerere alikuwa na akili nyingi hadi akafyonza za watoto wake
Sasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.
Shukrani kwa ufafanuzi.
Wakunyumba kabisaMzaliwa wa masasi
Sawa basi wapewe teuzi zingine mbna wengine wanapewa.Sasa tatizo ni wajumbe au?
Yaan inafikirisha mno kulikoni, aaaaaahWamebaki yatima maskini, kila mkubwa yupo busy kuendeleza kizazi chake kwa kuchomeka watoto wao, lakini wao wametupwa mbali sana.
Upo sahihi sana hapa.That is not the real point.
Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.
Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Upo sahihi sana hapa.
Mwishowe atasema Kende.Na sauti yake hata haivutii kusoma wasifu watu wakaelewa. Jamaa mjuaji sana, kwani ukisema 1938 kuna ubaya gani, kila eneo ni kenda kenda kenda ...
Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
Yeaaah Jah anasaidia.Uko poa?