Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
XYZ ilianzishwa na Mkapa.
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa
Kodi X aliondoa Mkapa

Nadhani Mkapa ndio tulitakiwa kumpigia chapuo aongezewe miaka ya kutuongoza.
Na tuliopo tunasema wengine hawajafanya kitu, na kusema kuwa yaliyofanyika kwa miaka mitano ni makubwa kuliko ya viongozi wote waliopita.
 
Na tuliopo tunasema wengine hawajafanya kitu, na kusema kuwa yaliyofanyika kwa miaka mitano ni makubwa kuliko ya viongozi wote waliopita.
Ndio maana Mzee alimaindi sana kauli ya kila zama na kitabu chake.
 
Magu kaongea kwa uchungu kweli hapa maneno yake yamenigusa, RIP Mkapa

Lissu for presidency 2020
Inaumiza ila analia unafiki tu sababu alimpa ugali, na ametoboa siri kuwa kumbe wanachaguana tu hii kitu lazima kiishime watanzania tujachague viongozi wetu.
 
Niliona mmoja kachukua fomu...butiama.
Ila sio lazima bahna, mbona hujipigii chapuo ww na ndugu zako?
Kama umefatilia convo ungeona tulikua tunazungumzia nini, hayo uliyoyaleta wewe ni nje ya mada kabisa,
Watoto wa wakubwa wengine wanapewa uongozi kwanini watoto wa Nyerere watengwe kiasi hicho?
Ndio maana tuliyokua tunaijadili.
 
Kinachoniumiza hawa watawala wala hawawapi hata teuzi , yaan nabaki kushangaa tyuuh km sio kustaajabu.
Wamebaki yatima maskini, kila mkubwa yupo busy kuendeleza kizazi chake kwa kuchomeka watoto wao, lakini wao wametupwa mbali sana.
 
Kura za maoni wamekataliwa kwao Butiama… kura za Makongoro na Madaraka ukijumlisha hazifiki 7

Walevi wa kutupwa

Jk alijaribu kumsaidi Makongoro kwa kumpa Ujaji Mke wake… Mke alipopata tu Ujaji akampa Talaka

Uswahilini tunasema kwa utani… Nyerere alikuwa na akili nyingi hadi akafyonza za watoto wake

Hii kitu inanifikirisha hata mimi,
Nyerere anaenziwa sana Tz, ndie baba wa taifa letu haina ubishi lakini mbona watoto wake wametengwa? Sijasikia Waziri Nyerere wala RC Nyerere, kuna nini nyuma ya pazia?
Wajuvi mtujuze.
 
Kura za maoni wamekataliwa kwao Butiama… kura za Makongoro na Madaraka ukijumlisha hazifiki 7

Walevi wa kutupwa

Jk alijaribu kumsaidi Makongoro kwa kumpa Ujaji Mke wake… Mke alipopata tu Ujaji akampa Talaka

Uswahilini tunasema kwa utani… Nyerere alikuwa na akili nyingi hadi akafyonza za watoto wake
Sasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.

Shukrani kwa ufafanuzi.
 
Sasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.

Shukrani kwa ufafanuzi.

That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
 
Hawa jamaa wa usalama wana mbwembwe sana . Mara kukimbia na msafara mara wananing'nia kwenye magari dah 😀 huwa napenda sana kuwaangalia
 
Aisee huu mzinga wa helicopter utakao safirisha mwili wa Mh Mkapa linaitwaje mbona kama Marine one la Trump!
 
That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Upo sahihi sana hapa.
 
Back
Top Bottom