Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Yeaaah Jah anasaidia.
Vyema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeaaah Jah anasaidia.
[emoji120][emoji120][emoji120]Vyema sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]kabudi ana mbwembwe Sana Hadi ameharibuMwishowe atasema Kende.
Mimi naona wao ndo wazembe Kama elimu walipewa, na ili ufanikiwe kwenye life usitegemee mbeleko jifunze na wewe kujikwamua, in short hao watoto hawajielewi na hawajui ku grab opportunities, mbona Ridhiwani anajishughulisha na chama, kawa mbunge hao kina madaraka wapo tu na ulevi. Tusimlaumu mwalimuThat is not the real point.
Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.
Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Hao vijana hawajielewi sioni haja ya kulaumu mtu, wako responsible na maisha yao, ukiona wameachwa ujue hawabebeki huko ccm wanabebana SanaSasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.
Shukrani kwa ufafanuzi.
TBC wamenikera kweli kwani kulia ni dhambi?TBC msikatishe picha ya Rais wakati Analia. Mnashindwa na ITV?
Mimi naona wao ndo wazembe Kama elimu walipewa, na ili ufanikiwe kwenye life usitegemee mbeleko jifunze na wewe kujikwamua, in short hao watoto hawajielewi na hawajui ku grab opportunities, mbona Ridhiwani anajishughulisha na chama, kawa mbunge hao kina madaraka wapo tu na ulevi. Tusimlaumu mwalimu
Hawabebeki hao watoto, mbona kina Ridhiwani wanajitahidi hata kina January.Yes yes, nafikiri hili ni tatizo zaidi kwao. Makongoro amewahi kuwa kwenye nafasi nzuri, sijui alikuja kuharibu vipi.
Hawabebeki hao watoto, mbona kina Ridhiwani wanajitahidi hata kina January.
Umekuja kutapika!!?Heshima ni kuusitiri mwili na sio kuutembeza mitaani kama mwenge.
Hivi heshima aliyowapa wale waliouliwa kule Pemba ilikuwa ni kuwapongeza wauwaji na Kuwapa vyeo?
Aisee huu mzinga wa helicopter utakao safirisha mwili wa Mh Mkapa linaitwaje mbona kama Marine one la Trump!
mkuu kweli umeamini alikua analia.!?TBC msikatishe picha ya Rais wakati Analia. Mnashindwa na ITV?
Kweli kabisa, wanabebwa lakini wanachana mbeleko.Hao vijana hawajielewi sioni haja ya kulaumu mtu, wako responsible na maisha yao, ukiona wameachwa ujue hawabebeki huko ccm wanabebana Sana
Lakini kwa title ya baba yao sidhani kama walihitaji referee, na kutumikia chama sidhani pia kama ni lazima mtu asome sanaa,That is not the real point.
Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.
Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Lakini kwa title ya baba yao sidhani kama walihitaji referee, na kutumikia chama sidhani pia kama ni lazima mtu asome sanaa,
Labda kuna shida nyingine tusiyoijua.