Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Mimi naona wao ndo wazembe Kama elimu walipewa, na ili ufanikiwe kwenye life usitegemee mbeleko jifunze na wewe kujikwamua, in short hao watoto hawajielewi na hawajui ku grab opportunities, mbona Ridhiwani anajishughulisha na chama, kawa mbunge hao kina madaraka wapo tu na ulevi. Tusimlaumu mwalimu
 
Sasa nimepata picha, kumbe wanaendekeza ulevi eeh, kama ni hivyo wapigwe chini tu, wanaharibu jina la Hayati baba yao.

Shukrani kwa ufafanuzi.
Hao vijana hawajielewi sioni haja ya kulaumu mtu, wako responsible na maisha yao, ukiona wameachwa ujue hawabebeki huko ccm wanabebana Sana
 
Mimi naona wao ndo wazembe Kama elimu walipewa, na ili ufanikiwe kwenye life usitegemee mbeleko jifunze na wewe kujikwamua, in short hao watoto hawajielewi na hawajui ku grab opportunities, mbona Ridhiwani anajishughulisha na chama, kawa mbunge hao kina madaraka wapo tu na ulevi. Tusimlaumu mwalimu

Yes yes, nafikiri hili ni tatizo zaidi kwao. Makongoro amewahi kuwa kwenye nafasi nzuri, sijui alikuja kuharibu vipi.
 
Mabibi na mabwana nimebahatika kuwa miongoni mwa waliojihimu vilivyo kwenda kumuaga mzee wetu.

Asiyejua kufa na akaangalie kaburi.

Mzee katutoka na kweli ni huzuni kubwa.

Sisi kama waswahili uvumilivu, na hasa kuvumiliana misibani ndiyo tunu zetu hizo. Wenyewe tunaita "subira."

Mbele ya marehemu kwa waswahili wastarabu, wote ni ndugu. Huwa hayupo mwenye msiba, bali msiba huwa wa wote.

Wahurumiwe wote ambao kwa kujua au kutokujua kwao wanajikuta kwa namna yoyote ile wakifarakanisha waombolezaji. Wakidhani labda wana haki zaidi msibani kuliko wengine.

Anasema Messiah: "uwasamehe kwani hawalijui walitendalo."

Ni kweli kuwa uwanja ulikuwa umefurika vilivyo. Katikati ya janga hili la gonjwa huu tulilomo, kwa hakika isingewezekana kabisa kwa watu wote kuendelea kujazana mle bila kikomo.

Tumshukuru mola kwa yote. Aliyeweza kuingia ndani na aliyeshindwa kuingia sote lililokuwa limetupeleka kule lilikuwa moja. Sisi sote tu wamoja.

Makamanda, kwa hakika mmeionyesha sehemu yenu ya nia njema kwa kuungana na watanzania wote kwa kufika kwa wingi wenu, kumuaga mzee wetu.

Hata kwa mlioshindwa kuingia ndani kwa sababu yoyote ile, bado mmefanya sehemu yenu ya kufika kwa nia moja.

Mzee wetu tumemuaga. Yote heri. Mzee wetu akapumzike kwa amani.

Kwa hakika kwa mara nyingine mmedhihirisha Tanzania ni moja.

Washindwe maadui zetu popote kule walipo ambao kwa sababu zao zozote walizo nazo, wangependa kuona tunagawanyika.

Watakaoweza, tuwakilishane Lupaso.

Pumzika kwa amani Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Tukio liko mubashara TBC na Channel ten.

Up dates; Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wameshawasili nyumbani kwa mzee Mkapa kijijini Lupaso.
Mkuu wa majeshi Gen Mabeyo ameenda direct kukagua ujenzi wa kaburi ambalo limeshakamilika kujengwa.

Chopa iliyobeba mwili wa Mkapa imeshatua wilayani Masasi.
 
Nipo hapa kibiti nimeshuhudia kwa siku tatu hizi magari yanayokwenda masasi kwa hesabu ndogo ni 300 vipi umeandaa eneo la kuweka hao wageni
 
Hao vijana hawajielewi sioni haja ya kulaumu mtu, wako responsible na maisha yao, ukiona wameachwa ujue hawabebeki huko ccm wanabebana Sana
Kweli kabisa, wanabebwa lakini wanachana mbeleko.
 
That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Lakini kwa title ya baba yao sidhani kama walihitaji referee, na kutumikia chama sidhani pia kama ni lazima mtu asome sanaa,

Labda kuna shida nyingine tusiyoijua.
 
Lakini kwa title ya baba yao sidhani kama walihitaji referee, na kutumikia chama sidhani pia kama ni lazima mtu asome sanaa,

Labda kuna shida nyingine tusiyoijua.

Labda kuna shida nyingine tusiyoijua. Very likely.
 
Naona Baba lao katua saa hizi kule mtwara Airport huyu naona atatinga kesho lupaso
 
Back
Top Bottom