raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
ila tuacheni masihara mtoto wa nyerere akose refereee mkapa mwenyewe alikua mlezi wa familiaThat is not the real point.
Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.
Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.