Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima
That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
ila tuacheni masihara mtoto wa nyerere akose refereee mkapa mwenyewe alikua mlezi wa familia
 
That is not the real point.

Nadhani baba yao hakuamua kuchuma na kuwaandalia maisha ya baadae, aliwaacha wajaribu kujitafutia wenyewe bila hata kuwapa referees.

Imagine mzee angeacha makampuni au miradi mikubwa, say apartments kwa ajili yao, leo hii wangekuwa na maisha ambayo wangeheshimika. Tusingewaita walevi.
Kaka niseme tu wazi huu ulioandika ndio ukweli mtupu.

Kosa si lao ila ni la mzee wao mwenyewe kwa kushindwa kuweka misingi mizuri kwa watoto wake,haiingii akilini uache watoto bila miradi na mali za kutosha halafu waje walaumiwe kwa sababu dhaifu ya ulevi wao.!!
 
Uzalendo umenizidi naomba nitoe furaha yangu kwa Kazi kubwa iliyosimamiwa na Waziri Mkuu iliyotukuka kwa jinsi alivyoongoza kamati ya mazishi ya baba yetu na Rais wetu mstaafu Bejamin William Mkapa.

Hakika wana Dar es Salaam hatuna cha kuwalipa, Mungu atawalipa. Ni matumaini yetu kuwa wana Mtwara na Lindi na mikoa jirani watafaidi huduma nzuri kutoka kwa Kamati hii mahiri.

Mungu ibariki Tanzania
 
Kuna raia atajuta kuhudhuria.

Siku hiyo inakuja?
 
Nawashangaa sn wanaoumia kufa huyo dingi. Me hata siguswi.

Ni mie,Odilli wa kwenye 'A man of the people'
 
Hongera kwa kuwazuia Wananchi kutoa heshima za Mwisho wa Kiongozi wao kipenzi???
 
Kama hela ipo hivi kuna kitu huwa kinashindikana? Labda amani na uponyaji tu..!!
 
Nimeona bendera ya Chadema ikipepea nusu mlingoti hapa Masasi mjini ikanilazimu niulize maana niliamini Chadema iliondoka na Cecil Mwambe.

Kumbe makamanda bado wapo bhana na wameniambia wanategemea kuwapokea viongozi wao kutoka makao makuu wakati wowote tayari kwa shughuli ya mazishi ya mzee Mkapa kijijini Lupaso.

Najaribu kumtafuta mwenyekiti wa kanda ya kusini Suleiman Methew walau anidokeze juu ya ugeni huo.

Nitarejea.

Maendeleo hayana vyama!
 
Waziri Mkuu wa Burundi atawakilisha wote.... Mazishi hayana Vyama

Covid 19 nayo haina Vyama [emoji192][emoji192]
 
Back
Top Bottom