Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Nyie" ni kina nani? Nimehudhuria kumuaga, wananchi walijitokeza kadri ya mapenzi yao kwa marehemu. Sikuona unachokiita siasa msibani, tatizo lako unakuja na mihemko ya UVCCM & BAVICHA.Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta mahubiri. Si nyie mliokua mnajitapa mmezira msiba na bila nyie uwanja ulikua tupu. Poleni siasa misibani mmezianza wenyewe
Ameimba kwa hisia kali na ni nyimbo bora kabisa ya maombolezo haya ikifuatiwa na ile ya T. Ô. THarmonizes performance is brilliant
Naomba taarifa ya kina "NYIE" inayoeleza KUZIRA shughuri ya msiba wa Mkapa.Mkiambiwa ukweli mnaanza kuleta mahubiri. Si nyie mliokua mnajitapa mmezira msiba na bila nyie uwanja ulikua tupu. Poleni siasa misibani mmezianza wenyewe
Nani.alimpa.Talaka mwenzake Mkuu,kati yao.Hebu fafanuaKura za maoni wamekataliwa kwao Butiama… kura za Makongoro na Madaraka ukijumlisha hazifiki 7
Walevi wa kutupwa
Jk alijaribu kumsaidi Makongoro kwa kumpa Ujaji Mke wake… Mke alipopata tu Ujaji akampa Talaka
Uswahilini tunasema kwa utani… Nyerere alikuwa na akili nyingi hadi akafyonza za watoto wake
Jamani jamani,, mbona wametajwa sana tangu mwanzo wa shughuli yenyewe pale msiba ulipotokea? Wamesemwa wako wawili vijana wa kiume Stephen na Nicolaus (huyu wa mwisho kama sijakosea jina lake). Labda uulize sasa wako idara gani kikazi hapo ndio sijasikia wakisemwa.Samahani kama mwananchi natamani kufahamu na kujua kama marehemu rais wa awamu ya tatu alikuwa na familia yaani watoto.
Kwa sababu toka msiba uko Dar hadi unagika kijijini kuzikwa sijabahatika kusikia wala kuwaona wanaoitwa watoto wa marehemu Mkapa.
Naomba mwenye ufahamu anisaidie
Hao Global TV wametuma watangazaji makanjanja, wanasema Mkapa ni baba wa Taifa? Halafu Lupaso wanaita Luposa! Hii mitangazaji ya kuokoteza tabu tupu!Live ipo angalia milard na global tv
California love
Nashukuru kwa taarifaMkuu unauliza vumbi darini! Tena kwenye matangazo jana, nilisikia kuwa wamenunua ng'ombe kadhaa kwa ajili ya mlo wa watakaoshiriki shughuli ya leo. Kwenye msiba mzito hivyo mchele lazima. Nakumbuka nikiwa mtoto nilisikia Jaramog Oginga Odinga, baba yake Raila alipokufa yalichinjwa madume ya ng'ombe 100! Baada ya kuwa mkubwa ndio nimefahamu kwa uhakika nyama ya ng'ombe mia moja ilikuwa nyingi kiasi gani.
Naomba taarifa ya kina "NYIE" inayoeleza KUZIRA shughuri ya msiba wa Mkapa.
"Nyie" ni kina nani? Nimehudhuria kumuaga, wananchi walijitokeza kadri ya mapenzi yao kwa marehemu. Sikuona unachokiita siasa msibani, tatizo lako unakuja na mihemko ya UVCCM & BAVICHA.
Samahani kama mwananchi natamani kufahamu na kujua kama marehemu rais wa awamu ya tatu alikuwa na familia yaani watoto.
Kwa sababu toka msiba uko Dar hadi unagika kijijini kuzikwa sijabahatika kusikia wala kuwaona wanaoitwa watoto wa marehemu Mkapa.
Naomba mwenye ufahamu anisaidie
Baraka tele; Tanzania ndiyo EDEN ya Adam na Hawa.R.I.P BWMKwa ambao tulikuwa tuna hamu ya kumuona mh RAIS dk JPM Lupaso kwenye mazishi amewasili kwa gari
Karibu JPM kumsindikiza moendwa weru
kachelewa sana na kawasubirisha mno watu aisee.Kwa ambao tulikuwa tuna hamu ya kumuona mh RAIS dk JPM Lupaso kwenye mazishi amewasili kwa gari
Karibu JPM kumsindikiza moendwa weru