Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 1,781
- 3,591
Wamesema watapeleka kipigo mpaka bandari salama (mzizima)Ngoja tuone watafanya nini.
Aje aone walivyopokeakisago
TPDF wamepewa onyo na waasi vinginevyo watakiona cha mtema kuniHili ni onto la tangazo la Vita dhidi ya TPDF.
Ziko wapi attack helicopters za South Africa?
Duh hii balaa aiseeWatu wanapigwa wanakimbia silahaView attachment 2893202View attachment 2893203View attachment 2893205
Gentamycin akikusikia mkuu mimi simoVita ya porini hakuna anayetukaribia ukanda huu.
Sio poa hicho kisagoDuh hii balaa aisee
Mfungwa hachagui gereza na adui hachagui silaha ya kupigiwaVita Ni Vita
Kwanini mnawapiga na silaha nzito hivyoHatuna shoo mbovu,πππ
Bm 21 + heavy artilleries supported by ground SFsπͺπͺπͺ
Hii wamesema wapi?Wamesema watapeleka kipigo mpaka bandari salama (mzizima)
Kusema ukweli nchi yetu iko vizuri sana kijeshi. Afrika Mashariki nzima wanatuelewa.Sio poa hicho kisago
Kwenye uwanja wa vita wakiwa wanajadili kwa sauti ya chiniHii wamesema wapi?