politics observer
JF-Expert Member
- Jun 18, 2024
- 385
- 299
A proven comment tht ur still immature..Nshaoa Mkuu! Tembeza Mix by Yass yako kwingineko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
A proven comment tht ur still immature..Nshaoa Mkuu! Tembeza Mix by Yass yako kwingineko
Wamekomaa sana AK47 haziwafai acha wapigwe na hixo heavy duty ndio zinawaingia na kupoteana poriniKwanini mnawapiga na silaha nzito hivyo
Kumbe jeshi letu nalo linauwa civilian uko kongoTPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC
Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
View attachment 2893189
Watz wengi wanapenda sifa ila moto ukiaanza kurudi wataanza kulia Lia jeshi lirudishwe tzNashauri tujielekeze kujenga taifa. Tusizame sana.
Kupigana na M23 wakati Rwanda iko ni sawa na IDF kupigana na Hesbullah wakati Iran haiguswi. Ni vita ambayo itatuchosha tu.
Tustick na point ya kulinda amani bila direct confrontation na hao waasi. Maana hawataisha. Hilo kundi liliwahi kufutwa na kiongozi wake akajipoteza ila limeibuka tena msimu huu.